Madhara ya kufanya tendo la ndoa Mara nyingi kwa wanaume
Dunia na mazingira pamoja na hali ya hewa imebadilika ambayo imeharibu mfumo wa afya ulaji wa vyakula wa sasa si kama wa zamani watu wanashindia matango au mikate au chips.
Wako watu wanajisifia kwa kufanya tendo la ndoa mara nyingi au kupiga bao nyingi.yako madhara ambayo yanatokana na kufanya tendo la ndoa mara nyingi ambayo wataalam wengi hawajazungumza.
Yafuatayo ni madhara yake;
1.KUPUNGUA MDA WA KUISHI
Kutokana na ulaji mbaya kufanya tendo la ndoa sana na kupiga bao nyingi kunapunguza umri wa kuishi kwa wanaume kufanya tendo la ndoa ni sawa na Kazi ngumu kuna UA cell mbalimbali mwilini, bao moja ni sawa na kutembea kilomita nyingi sana kwa DSM bao moja ni sawa na kutembea kwa miguu kutoka mbagala mpaka tegeta kibaoni.bao tatu ni sawa na kutoka DSM mpaka kibaha.wajapani wanaishi miaka mingi sana kwa sababu ya kutokufanya sana tendo la ndoa.Ushauri Fanya tendo la ndoa kwa kiasi kwa wiki fanya mara mbili, bao moja kwa kila tendo kwa afya.
2.KUNAPUNGUZA UWEZO WA KUFIKIRI(WEAKEN THINKING CAPACITY)
Kufanya tendo la ndoa sana kunapunguza uwezo wa kufikiri.watu wengi waliogundua vitu vya kisanyasi si watu wa kufanya sana tendo la ndoa kufanya tendo la ndoa sana kunafanya uwekeze akili nyingi huko, waafrica wengi wakiamka wanashika sehemu za siri kwasababu ndio kitu wanachokifikiri sana lazima tufanye sex transmutation tubadili high sexual desire into other desires.
3.KUNAPUNGUZA UFANISI UTENDAJI WA KAZI mtu anayefanya tendo la ndoa sana kupita kawaida kunapunguza ufanisi wa kutenda kazi.
4.UKIZEEKA UTAWAHI KUTUMIA MKONGOJO. Mtu anayefanya sana tendo la ndoa akizeeka anawahi sana kutumia mkongojo kuliko kawaida kwani kufanya tendo la ndoa sana si kazi ndogo.
NB: Fanya tendo la ndoa kwa afya bao moja tu acha kumkomoa mwanamke unajikomoa mwenyewe.
No comments: