KUPEANA MAHABA YA ASUBUHI.
Kama wewe upo kwenye ndoa basi utafiti unaonesha kwamba kufanya mapenzi asubuhi hukuweka kwenye afya njema zaidi.
watafiti wanasema kwamba kufanya tendo la ndoa asubuhi mara tatu kwa wiki hupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa Moyo, au Kupooza kwa nusu nzima na kufanya mapenzi mara kwa mara asubuhi huimarisha mzunguko wa damu na kupunguza shinikizo la damu.
Kufanya mapenzi asubuhi husaidia kupunguza kupata kisukari kwani kwa kitendo hicho unaweza kuchoma idadi ya calories 300.
Pia Tendo la Ndoa asubuhi huweza kupunguza maumivu kwenye viungo kama magoti nk pia husaidia kuzalisha homoni za testosterone ambazo husaidia mifupa na mishipa kuwa imara.
Pia mahaba ya asubuhi pia husaidia nywele kung’aa na kunawiri vizuri pamoja na ngozi kwa kusaidia uzalisha kiwango kikubwa cha oestrogen na homoni zingine zinazofanana na hiyo.
Pia utafiti ulionesha kwamba wanawake ambao waume zao hawakutumia Mipira walikuwa ngangari linapokuja suala la stress na presha ukilinganisha na wale ambao waliuwa wanatumia mipira wakati wa Tendo
Pia watafiti wana onya kwamba mahaba ya asubuhi yasiwe yale ya kuchosha kwani yanaweza kusababisha kuwa na Kinga dhaifu.

No comments: