Zifahamu Sifa 15 Za Mwanaume Zinazomfanya Apendwe Na Wanawake!!!!


Kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae. Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapendamweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume. 
1. Kujiamini 
2. Mcheshi
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini  
8. Mwenye mawazo mapana
9. Muwazi na mkweli  
10.Anayeridhika  
11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 
13. Anaesamehe 
14. Hadhi na heshima  
15. Hisia ya uadilifu.

No comments:

Powered by Blogger.