Kila nikikumbuka hasira zinanipanda. Mchepuko umenidhulumu Sh milioni 3
Nina mke, lakini pia nilikuwa na mchepuko/Mpango wa kando.
Mchepuko akawa anahitaji kununua gari. Tukaingia mtandaoni na kuagiza gari kwa kadiri ya pesa yake.
Gari likafika, na inatakiwa kulipiwa kodi na storage fee. Mchepuko ana upungufu wa shilingi milioni 3.
Ikabidi anifuate ili nimsaidie, bahati mbaya nami sikuwa nayo. Nikajipapasa weee, hadi kwa marafiki zangu, pesa ikapatikana.
Gari lipo mikononi kwa binti, lakini pesa yangu/ya watu harudishi. Nilipomfuata kwa upole, hakuirudisha. Nilipokuwa mbogo, hakunipa pia.
Imenibidi niwe mpole. Sina jinsi. Lakini kila nikimuona naumia sana na hasira zinanipanda

No comments: