Wakuu,
Hii tendency ya beki tatu wengi kutoka mikoani kuja mjini wakiwa bado ndani ya karatasi, bado wapya na bikra zao ni ishara gani?
Wanaume wa mikoani mnakosea wapi hadi hawa kina dada wenye umri mkubwa kabisa wanakua bado wapya?
Mnakosea wapi nyie wanaume wa mikoani???
House girls kutoka mikoani wengi ni mabikra; wanaume wa mikoani mnakosea wapi?
Reviewed by
Dr. Love
on
5:47 AM
Rating:
5
No comments: