MUDA WA USICHANA NI MFUPI JIPANGE


Ni vema msichana akajipanga kwa kipindi hicho cha umri wa usichana wake, msichana anapaswa kuishi maisha sahihi, ajitunze mwili wake na awe kielelezo bora au mfano wa kuingwa kwa wananomtazama.

Elimu ya utambuzi ni kitu muhimu kwa binadamu aliyekamilika, pamoja na kujipa kipaumbele kwako wewe usichana wa kisasa. Uzuri ulio nao leo hii wewe msichana wa miaka 23, hautakuwepo miaka saba ijayo hasa kama utajiachia hovyo hovyo kwa wanaume na kukutumia mwili wako vibaya.

Tunza usichana wako na ishi kwa stara ili kujiwekea mazingira mazuri kwa ajili ya maisha yako ya sasa na baadaye.heshimu kila mtu anayekutana naye mbele yako naye atakuheshimu.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


No comments:

Powered by Blogger.