Mwanamume asiyekupenda"
Ni kama hizi, bali ni baadhi tu;
1. Hata anapokuaproach, anakuwa na confidence sana kwa sababu haoni hata shida akikukosa, hivyo hatakuwa makini kwa hilo kabisa.
2. Atakapokupata tu, ataanza kukueleza mwanamke ambaye yuko naye na kuanza kukuchenga.
3. Hakupi namba zake za simu, na akikupa ankupatia isiyopatikana muda mwingi.
4. Atakusihi kutombeep, au kumpigia simu, wala kutuma message kwa kuwa atakuwa busy, au mbali.
5. Kamwe hatakuonea wivu ukiwa na mwanaume mwingine.
6. Kamwe hatakuwa tayari ndugu zako na zake kufahamu mahusiano yenu.
7. Hawezi hata siku moja kuihairisha safari yake ili awe nawe, sometimes.
8. Mkikutana na kuspend pamoja kukawia kwa muda mfupi tu, kisha anaondoka; inakuwa ni tabia yake ya mara nyingi, bali si mara zote.
9. Hatakueleza mipango yake halisi katika maisha, na akikueleza ni kwa kiasi kidogo mno.
10. Hasiti hata kukueleza wazi kuwa huko nyuma alikutamani, na si kukupenda.
Just to mention few........
from Tujifunze Mapenzi https://ift.tt/2RRGsNS
via
No comments: