Mwanaume Mmoja Anaweza Kuwapa Mimba Wanawake Wote Dunian

Related image

Ni mara chache sana sayansi inakosea. Leo tuongeze jambo kidogo la kisayansi.
Dunia mpaka sasa ina watu hai 7.625 Bilioni (today’s clock). Katika hao, wanawake ni 3.77 Bilioni.
Mwanaume mmoja mwenye afya hutoa sperms milion 40-1.2 Bilioni kwa mkupuo mmoja. Katika maisha yote (assume atakufa baada ya miaka 75) huweza kutoa sperms bilioni 525. Hivyo ukizigawa sperms hizo zinatosha kuwaingia wanawake wote duniani na kuwatia ujauzito na za ziada zikabaki kwa ajili ya kuogea!!!

Be proud to be a man!!!
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


No comments:

Powered by Blogger.