Ni wanaume wangapi wanayaweza haya?

Related image

Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.

Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili. 

Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.

Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.

Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


No comments:

Powered by Blogger.