Kila nikilala na mwanamke kama kabeba chupi ya kubadili ile aliyovaa akiivua lazima nifanye manuva mpaka niondoke nayo, alafu nazitumia baadae kuvuta hisia kwenye mambo yetu ya kisabuni.
Sasa uvungu wangu chumbani umejaa chupi na nyingine zinanuka kweli.
Naomba msaada niweze kuacha?
Nina Ugonjwa wa Kuiba Chupi za Wanawake, Nifanyaje Niache ?
Reviewed by
Dr. Love
on
10:38 PM
Rating:
5
No comments: