Shetta Akiri Wimbo Wake Kufanana na wa Nandy
Msanii wa kizazi kipya Shetta amefunguka na kukirikuwa ni kweli wimbo wake huo mpya ambao amemshirikisha Jux umekuwa ukifafa sana na wimbo wa mwanadada Nandy wa aibu.Shetta anasema kuwa wimbo huo ni moja kati ya nyimbo kali sana alizozienda hivyo hakuona kama ni makosa ilhali aliomba ruhusa ya kutuia beat hilo.
Akiongea na kujibu swala hilo Sheta anasema , aliuenda sana wimbo huo na ndio alipouomba producer Maneck na pia mwenye wimbo ambae ni Nandy na walikubali na ndipo alipotumia beat hilo.
Shetta anasema kuwa watu wengine wamekuwa wakishambulia bila hata kujua chanzo chake wakati yeye kwa mapenzi na wimbo huo alitaka hata kuimba remix yake.
from Tujifunze Mapenzi https://ift.tt/2E6bQV8
via

No comments: