VUNJA MBAVU NA VICHEKESHO HIVI
Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:
Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania.
Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chake
Walipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka na furaha kuwa:
Kama ndege hii imetengenezwa na watanzania, hata kuwaka haitawaka!
ule Marekani mume anapoenda kulala anamwambia mke wake “goodnight baby”
Kule Uingereza mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “sweet dreams honey”
Kule Australia mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “goodnight my love”
Huku kwetu Tanzania mume anapoenda kulala humuuliza mke wake “umefunga milango yote na madirisha vizuri?”
===========
Mwanamke aliingia kwnye teksi akitaka huduma akiwa uchi kama alivyozaliwa!
Dereva akawa anamshangaa,
Mwanamke: hujawahi kuona uchi au!
Dereva: Ninachoshangaa si uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
============
Nyerere: Kama vile nakufananisha?
Mandela: Hata mimi naona sio sura ngeni?
Nyerere: We ndie Mandela eee?!
Mandela: Ndiyo mimi haswa miaka 14 ni mingi.
Nyerere: Sana!!.
Mandela: Sasa nitakaa wapi mbona hakueleweki huku?
Nyerere: We ngoja utapaelewa tu.
Nyerere: Eeh!! vipi huko Tanzania? ulitembelea hata hivi karibuni?
Mandela:
Eeeh! we acha tu, huko mara Zitto msaliti, mara Umeme mgawo miezi sita, mara mgomo wa Gesi haitoki Mtwara, mara kifo cha Mwangosi, mara Dawa za Kulevya, mara Meno ya Tembo, mara kuchoma Makanisa, mara mabomu kwenye mikutano ya hadhara na makanisani, mara Ufisadi, mara Dr. Ulimboka na Kibanda kung’olewa kucha na meno kwa plauzi, mara Division 5, mara Udini, mara ngumi Bungeni, mara kifo cha Dr Mvungi, mara tindikali kwa mapadri, mashehe na wageni, mara Kagame kuishambulia Tanznia, Petroli kuchakachuliwa, mara wengine wanasema eti Muungano ulioasisi unatokana na Visiwa vya Zimbabwe na Zanzibar na sio Tanganyika tena, mara muungano wa serikali tatu ndio unaotakiwa, mara Kigamboni kapewa Obama, mara Bushi na mke wake kaja Tanzania, Clinton na mke wake kaja Tanzania, Kamerun na mke wake kaja Tanzania, Xiing wa uchina kaja Tanzania, mara puttin wa Urusi kaja Tanzania. Yaani hekaya ni ndefu bora urudi ukayashuhudie mwenyewe.
Mara Mandela alipomrushia macho swahiba wake kumbe kashazimia saa nying
------------------------------------
Hebu fuatilia kichekesho hiki na angalia usivunjike mbavu
Kuna Mchaga mmoja kanasa kwenye kisima asubuhi na mapema akiwahi kibaruani. Kisima hicho kilitelekezwa na jirani yake
Baada ya maangaiko makubwa ya kumtoa, mmojawapo wa watoto wake alikuja na kamba na kumtupia ili waweze kumnasua kisimani.
Mahojiano yalikuwa hivi
Mtoto: Baba ebu daka hiyo kamba uing’ang’anie ili tukuvute mpaka utoke uko
Baba wa kichaga: Kwani hiyo kamba umenunua shilingi ngapi na kwa nani?
Mtoto: Nimenunua Shilingi elfu moja kwenye lile duka la mpare
Baba wa Kichaga: Alipatwa na mshangao haraka akajibu, Eyowii!! Amekuuzia ghali sana kijana, ebu rudisha na ukanunue kamba kwa Mosha anauza mia tano.
Wote: Wakashangaa, wakacheka na kuvunjika mbavu!
===========================
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu
Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili yatakuhusu
Lakini kama wewe utaajiriwa jeshi kuna mambo mawili yatakuhusu
Lakini kama wewe utafanya kazi mstari wa mbele vitani kuna mambo mawili yatakuhusu
Lakini kama utauawa kuna mambo mawili yatakuhusu
Lakini kama mwili wako utatumika kama mbolea kuna mambo mawili yatakuhusu.
Lakini kama itatumika kwa kupanda miti kuna mambo mawili yatakuhusu.
Lakini kama zitatumika kutengeneza karatasi za chooni kuna mambo mawili zitahusisha
Lakini kama zitatumiwa na mwanamke kuna mambo mawili yatakuhusu
Lakini kama zitatumika kwa mbele malizia mwenyewe mambo mawili yatakayotekea…
=========================

- Ni ama wewe utazaliwa mwanaume
- Au wewe utazaliwa mwanamke
Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili yatakuhusu
- Aidha wewe utaajiriwa uraiani
- Au utaajiriwa jeshini
Lakini kama wewe utaajiriwa jeshi kuna mambo mawili yatakuhusu
- Aidha wewe utafanya kazi za ofisini
- Au utafanya kazi za mstari wa mbele vitani
Lakini kama wewe utafanya kazi mstari wa mbele vitani kuna mambo mawili yatakuhusu
- Aidha wewe utaua
- Au Utauawa
Lakini kama utauawa kuna mambo mawili yatakuhusu
- Aidha mwili wako utazikwa
- Au mwili wako utatumika kama mbolea.
Lakini kama mwili wako utatumika kama mbolea kuna mambo mawili yatakuhusu.
- Aidha wewe ni itatumika kwa kupanda maua
- Au utatumika kupanda miti.
Lakini kama itatumika kwa kupanda miti kuna mambo mawili yatakuhusu.
- Ni ama zitatumika kutengeneza karatasi za kutumia chooni
- Au itatumika kutengenezea samani za ofisini na majumbani.
Lakini kama zitatumika kutengeneza karatasi za chooni kuna mambo mawili zitahusisha
- Aidha zitatumiwa na mwanaume
- Au zitatumiwa na mwanamke
Lakini kama zitatumiwa na mwanamke kuna mambo mawili yatakuhusu
- Aidha zitatumika kusafisha upande wa nyuma
- Au zitatumika kusafisha upande wa mbele

No comments: