KAMA ULIKUWA HUJUI HIZI NDIZO MBINU ZA KUMFANYA MWANAMKE APATE AU ASHIKE UJAUZITO HARAKA
1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa
mara, angalau siku tatu kwa wiki,
ikiwezekana on alternate days.
2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni
kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati
hasa mwanamke ameengua yai na ndio
kipindi ambacho mwanamke ana uwezo
wa kushika mimba akikutana na
mumewe. Ni rahisi kutumia.
3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua
yai (kabla ya ovulation), huongeza
uwezekano wa kushika mimba kuliko
kusubiria ovulation au kufanya baada ya
ovulation.
Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya
ovulation. Ukitumia ovulation test kit,
mkutane kuanzia siku itakapokuwa
positive kwani huwa inapredict
ovulation kutokea 48 hrs after it tests
positive.
4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri
uenguaji yai, njia hii kwa kiasi fulani
huweza kuwasaidia wale wenye
mzunguko wa siku 28, lakini pia haina
uhakika wa 100%, wengi wa wanawake
hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko
wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda
kutakuchelewesha kupata ujauzito.
5. unapotaka kushika mimba, acha au
punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya
pombe, sigara au dawa za kulevya.
6. unapotaka kupata mimba, tendo la
ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio tendo
'mechanical' kwa ajili ya kutafuta mtoto.
7.Kufanya mapenzi katika mtindo (style)
ambayo itafanya mbegu za kiume zikae
kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi
kupanda kuingia kwenye kizazi na
kwenda kurutubisha yai.
'missionary position' ni nzuri zaidi,
ambapo mwanaume anakuwa juu,
epuka positions za mwanamke kuwa
juu kwani hufanya mbegu zimwagike
kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto chini
ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu
ziingie ndani kwa urahisi zaidi.
Kumbuka kuna asilimia 10 – 25 ya
couples ambazo zina matatizo ya
infertility lakini vipimo havionyeshi
tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya
mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia
hizo 7 juu.
Kama hizi njia hazijakusaidia basi
utakuwa na matatizo na unaweza
kumuona daktari kwa msaada wa
vipimo na matibabu. Natumaini uzi huu
unaweza kuwa msaada kwa watafutao
watoto
mara, angalau siku tatu kwa wiki,
ikiwezekana on alternate days.
2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni
kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati
hasa mwanamke ameengua yai na ndio
kipindi ambacho mwanamke ana uwezo
wa kushika mimba akikutana na
mumewe. Ni rahisi kutumia.
3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua
yai (kabla ya ovulation), huongeza
uwezekano wa kushika mimba kuliko
kusubiria ovulation au kufanya baada ya
ovulation.
Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya
ovulation. Ukitumia ovulation test kit,
mkutane kuanzia siku itakapokuwa
positive kwani huwa inapredict
ovulation kutokea 48 hrs after it tests
positive.
4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri
uenguaji yai, njia hii kwa kiasi fulani
huweza kuwasaidia wale wenye
mzunguko wa siku 28, lakini pia haina
uhakika wa 100%, wengi wa wanawake
hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko
wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda
kutakuchelewesha kupata ujauzito.
5. unapotaka kushika mimba, acha au
punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya
pombe, sigara au dawa za kulevya.
6. unapotaka kupata mimba, tendo la
ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio tendo
'mechanical' kwa ajili ya kutafuta mtoto.
7.Kufanya mapenzi katika mtindo (style)
ambayo itafanya mbegu za kiume zikae
kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi
kupanda kuingia kwenye kizazi na
kwenda kurutubisha yai.
'missionary position' ni nzuri zaidi,
ambapo mwanaume anakuwa juu,
epuka positions za mwanamke kuwa
juu kwani hufanya mbegu zimwagike
kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto chini
ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu
ziingie ndani kwa urahisi zaidi.
Kumbuka kuna asilimia 10 – 25 ya
couples ambazo zina matatizo ya
infertility lakini vipimo havionyeshi
tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya
mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia
hizo 7 juu.
Kama hizi njia hazijakusaidia basi
utakuwa na matatizo na unaweza
kumuona daktari kwa msaada wa
vipimo na matibabu. Natumaini uzi huu
unaweza kuwa msaada kwa watafutao
watoto
No comments: