LOVE SMS KALI MTUMIE MPENZI WAKO
My Love
Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo
jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa
Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi
si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha
oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako
Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie
lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno
Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba
ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazoKwa mapenzi ya dhati Kagarara
No comments: