Makalio Makubwa Siku Hizi Ndiyo Habari Ya Mujini… Jionee Yalivyo Feki
Makalio makubwa siku hizi ndo kama habari ya mjini. Madada wengi wamelenga sana kuwatega wanaume huku wakijipendezesha kwa makalio makubwa na kuwachanganya wanaosimamisha vihisia vyao kwa kulewa na makalio makubwa na kwa hakika wengi wao hufanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Makalio haya ambayo mengi yao sio ya asili ni fake (Fake Butts) ambazo wengi humeza vidonge, kuchoma sindano, kupaka na njia nyinginezo. Lakini pia kuna yale ya kuvaa “Butt Pads” huvaliwa ndani kisha nguo nyingine zinafuata.
Nick Minaj, star huyu yeye kajiongezea kitu fake.

*****
TIZAMA PICHA ZA MA-STAR WENGINE








NYINGINE TAMU
No comments: