MBINU NA JINSI YA KUFANYA MAPENZI NA MWANAMKE BIKRA

Kununua baadhi ya vitu muhimu mapema kabla ya muda wa kutolewa bikira yako itasaidia kufanya tendo zima la kutolewa bikira liwe rahisi kidogo, vitu muhimu vya kununua ni kama vile, *.Condoms,Ukiachilia mbali kuwa zitakusaidia usipate Mimba usiyoitarajia (unwanted pregnancy), lakini pia itakusaidia usipate magonjwa yanayosambaa kupitia njia ya kufanya Ngono bila kutumia kinga (Sexual Transmitted Infections and Diseases). Hata kama unatumia vidonge vya uzazi wa mpango(birth-control pills) na pia unamuamini sana Mpenzi wako, kutumia Condom kutasaidia kufuta wasiwasi na uoga wote utakaoweza kuhisi wakati unapeana Raha na Utamu kwa Mara ya Kwanza. *.Lubricant(Mafuta ya kulainisha), Kitu muhimu zaidi kama ilivyo Condom,ni kununua mafuta ya kulainisha yatakayosaidia kulainisha uke wako kwa kuwa ni mara ya kwanza. Mafuta ya kulainisha(lubricant) yatasaidia sana mashine ya Mwanaume kuingia kwa urahisi kwenye uke wako bila kukupa maumivu. Ukienda kununua Mafuta ya kulainisha(Lubricant),chagua ambayo yapo kama maji maji(water-based lube) kwa sababu ndio the best( ukifika duka la madawa mwambie akupe KY-Jelly,atakuuliza ya shiling ngapi coz yapo kwenye ujazo tofauti tofauti). 3.ONGEA NA MPENZI WAKO KUHUSU KITU CHOCHOTE AMBACHO UNA WASIWASI NACHO (DISCUSS YOUR CONCERNS WITH YOUR PARTNER) Kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza na Mtu unamtrust,inasaidia sana kupunguza na kuondoa kabisa wasiwasi na uoga wote ambao wasichana/wanawake wengi huwa wanapata,na huo wasiwasi na uoga ndio unachangia wapate maumivu zaidi wakati wanatolewa bikra(kitu muhimu ni kwamba make sure usiwe na wasiwasi au uoga wowote na kama unafeel wasiwasi au uoga then jaribu kuongea na Mpenzi wako kuhusu kitu chochote ambacho kinakupa wasiwasi au uoga) Na mpenzi wako anatakiwa awe anajali Hisia zako,awe teyari kukusikiliza,na kukusikiliza peke ake haitoshi,inatakiwa akubembeleze na akusaidie kuelewa kuhusu kitu chochote ambacho kinakupa uoga au wasiwasi. Kama ukimuona anakuforce,wala sio mtu anaejali sana,ameconcetrate kwenye kujipa raha mwenyewe badala ya kufanya experience yako ya kupeana Raha na Utamu iwe Special na uikumbuke milele,then inabidi ufikirie na uwaze mara mbili mbili kabla ya kumpa Bikra yako. 4.FAHAMU HYMEN YAKO NDIO KITU GANI (KNOW WHAT YOUR HYMEN IS) Hymen ni ngozi nyembamba(thin) ambayo imetanda(cover) kwenye muingilio wa uke wako(vaginal opening),karibia wasichana na wanawake wote huwa wanazaliwa nayo. Mara nyingi huanza kupotea taratibu kwa sababu kama vile,kucheza michezo,kutumia tampon, hedhi au hata normal movement za kila siku. NA kama unataka kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza,itakuwa vizuri ufahamu mambo yafuatayo kuhusu hymen yako, *.Itategemea na umri wako na maisha yako unaishi vipi, kama wewe ni teenager kuna uwezekano mkubwa kuwa hymen yako ipo na haijapungua dat much tofauti na Mwanamke wa kuanzia miaka 25 ambae bado ni Bikira, lakini pia kitu kingine muhimu kama wewe sio mtu wa kujishughulisha na michezo,haufanyi mazoezi etc, basi pia kuna uwezekano mkubwa hymen yako ikawa ipo kuliko yule ambae anajishughulisha na michezo au mazoezi.(unaweza kufahamu zaidi kwa kuweka kioo mbele ya uke wako,kisha tumia tochi kuona ndani ya uke wako kama kuna Utando wowote ule.) *.Hymen ndio inasababisha baadhi ya wasichana au wanawake damu ziwatoke(bleed) wakiwa wanatolewa bikira zao. Lakini hiyo Damu inatakiwa iwe ndogo sana isiwe nyingi kama ile inayokutoka kwenye siku zako(menstrual cycle).(kama ilikutoka au itakutoka nyingi basi ujue Mpenzi wako alitumia force kubwa isiyokuwa na ulazima/umuhimu sana) Kwa sababu wapo baadhi ya wasichana au wanawake ambao wakitolewa bikira hakuna hata damu inayotoka kabisa. *.Kuvunja Hymen yako sio lazima ilete maumivu kihivyo,by the way kama kuna maumivu ya aina yeyote utasikia wakati unapeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza basi ujue yamesababishwa(being caused) na kwamba hujazoea kuingiza kitu kikubwa kama mashine ya Mwanaume kwenye uke wako.Na unakaza(clench) misuli(muscles) ya uke wako kwa sababu ya wasiwasi na uoga wako mwenyewe. Lakini wala sio kisa hymen imevunjwa. Habari nzuri ni kwamba ingawa huwezi kucontrol jinsi hymen yako itakavyovunjika,lakini unaweza kucontrol kiasi gani utakuwa Relaxed na Comfortable,na kadri unavyokuwa relaxed and comfortable,ndio uwezekano wa kutopata maumivu kabisa unavyokuwa mkubwa.(The more Control you have on How much Comfortable and Relaxed You will Be when Makin Love For The First Time,The Less Pain You Are goin To Experience




No comments:

Powered by Blogger.