Mwanamume atakuchukia sana ukimfanyia mambo haya kitandani

Wanasayansi wamefanya tafiti kadha na kuhitimisha kuwa wanaume wanaogopa sana kuachwa na mchumba na pia kudhalilishwa. Eneo moja ambalo wanaume wanahofia zaidi ni kuonekana duni kitandani. Wanatatizika kila wanapofikiria kuwa ustadi wao uwanjani ni wa ligi ya chini; kwamba hawawezi kukufikisha kileleni ilhali unawapa mahaba ya kutosha.
Itakuwa vyema kwako mwanadada kuhakikisha kuwa unamuondolea mpenzi wako mawazo haya ya kumfedhehesha. Chukua hatua zifuatazo: 1. Usimlinganishe na wengine Yawezekana umekuwa na mchumba mmoja tu, ama yeye ni wa mia moja! Kwanza, usithubutu kumtajia idadi hiyo. Pili, usimlinganishe hata chembe na hao wengine wa zamani isipokuwa tu kama yeye ndiye ameibuka bora kuliko wote! 2. Usimkashifu Hakuna aliye kamili; mpenzi wako atashindwa na mechi nyakati zingine. Usimuonyeshe kadi nyekundu, subiri mechi iishe ama aondoke kwa utaratibu. Siku ambazo itakubidi ujifanye umefika kileleni, acha iwe ni siri yako mwenyewe; kama wasemavyo, hakuna siri ya wawili! Utamfaa zaidi wakati wa mechi ukimuelekeza kwa upole, hatimaye atatinga bao!
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
No comments: