NAOMBENI USHAURI: MJOMBA WANGU KAINGIA CHUMBANI NA KUNIKUTA NAVAA NGUO SASA ANANITAKA,NIFANYAJE?
Baba mdogo wangu ananitaka kimapenzi,
alikuja gafla chumbani kwangu na kuingia
bila kupiga hodi kuniambia kwamba mama
amezimia gafla kutokana na ugonja wa
kifafa unaomsumbua.
Bahati mbaya wakati anaingia chumbani
kwangu gafla alinikuta nikiwa uchu nikiwa
nimevaa chupi tu, sasa toka wakati huo
amakua akiniangalia kwa macho ya
kimapenzi na anataka kutoka na mimi out
anasema kuna jambo anataka kuongea na
mimi.
Nimefikiria kumwambia kaka yake , lakini
nahisi nikimwambia baba naweza kufanya
tatizo kuwa kubwa zaidi, naombeni
ushauri wanajamii forums, sababu sasa
ameanza kunitumia message za mapenzi
usiku, na huyu ni baba yangu mdogo na
amenipita miaka mingi kwa kweli,
namheshimu na naogopa kumjibu vibaya.
alikuja gafla chumbani kwangu na kuingia
bila kupiga hodi kuniambia kwamba mama
amezimia gafla kutokana na ugonja wa
kifafa unaomsumbua.
Bahati mbaya wakati anaingia chumbani
kwangu gafla alinikuta nikiwa uchu nikiwa
nimevaa chupi tu, sasa toka wakati huo
amakua akiniangalia kwa macho ya
kimapenzi na anataka kutoka na mimi out
anasema kuna jambo anataka kuongea na
mimi.
Nimefikiria kumwambia kaka yake , lakini
nahisi nikimwambia baba naweza kufanya
tatizo kuwa kubwa zaidi, naombeni
ushauri wanajamii forums, sababu sasa
ameanza kunitumia message za mapenzi
usiku, na huyu ni baba yangu mdogo na
amenipita miaka mingi kwa kweli,
namheshimu na naogopa kumjibu vibaya.
No comments: