Umekoma Najua Hautarudia tena✔πŸ˜πŸ˜‚

Related image

KALI YA LEO JANA NILIALIKWA HARUSINI: Huko! mtaa fulani hivi
Nilipofika kwenye ukumbi nikaona milango 2 imeandikwa: 
1)WAZAZI 
2)MARAFIKI nikaingia kwa marafiki, ndani nikaona tena milango 2.
1)WA KIUME 
2)WA KIKE
Nikaingia wakiume, ndani tena nikaona milango 2 
1)WENYE ZAWADI 
2)WASIO NA ZAWADI nikaingia wasio na zawadi, 
Nilipoingia 2
nikajikuta niko nje, kugeuka nyuma nikaona maandishi makubwa.
"MARUFUKU KURUDI NDANI"
dah dunia hii imetoboka kama huna pesa uthaminiwi!!!
PAMBANA NA HALI YAKO MUNGU YU PAMOJA NAWE Usikate tamaa yote maisha tu. 🀣


Usisahau kushare post hii.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


No comments:

Powered by Blogger.