STORY NZURI - AM NOT A DOCTOR 01

Ukimy unao endelea kutawala hapa sebleni, kila mmoja anamsubiria baba kuweza kuzungumza kitu ambacho amepanga kukizungumza baada ya kuuita mimi na mama. Kila mmoja macho yapo kwa baba ambaye anaonekana kama anafikiria jambo fulani, baba akakohoa kidogo kisha akaanza kunitazama mimi.
“Siku zote ninakuona ukizunguka zunguka hapa nyumbani una mpango gani na kusoma?”
Swali la baba likanifanya kukaa kimya kwa muda kwa maana katika maswala ambayo huwa sipendi kuyasikia kwenye maisha yangu ni swala zima la kurudi darasani. Elimu ya kidato cha sita niliyo nayo kwangu ninaiona inatosha kabisa.
“Wewe si umeulizwa swali na baba yako, unatoa toa nini macho?”
Mama alizungumza huku akiwa amenikazia macho kwa maana anaelewa kabisa kwamba mimi huwa sipendi kabisa swala zima la kusoma na nilisha muweka wazi.
“Bado ninaendelea kujipanga panga baba”
“Pumbavu wewe, utaendelea kujipanga hadi lini. Unaona raha kukaa hapa nyumbani kijinga jinga, kazi kucheza game kwenye Tv si ndio?”
Baba alifoka hadi nikaanza kutetemeka kwa maana siku zote huwa ninamuogopa sana baba yangu, ni mtu ambaye hapendi masihara kabisa kwenye maisha yake. Hata kwenye makuzi yangu, amenikuza katika mstari wa kunyooka. Sikuwa na jinsi zaidi ya kukaa kimya kabisa kwa maana kujibu kwangu kunaweza kumfanya baba kunyanyuka sehemu alipo kaa na kunifwata nilipo na akifika hapa nilipo basi kinacho tokea nitakielewa mimi mwenyewe.
“Ahaa bado ninafikiria ni chuo gani niende kusoma”
“Sasa nisikilize, nimesha anza kufwatilia process za wewe kwenda chuo cha udaktari. Jiandae na hili”
Baba alizungumza kisha akanyanyuka na kuniacha nikiwa nimekaa kimya nikiwaza pasipo kupata majibu ya aina yoyote kwa maana swala la kwenda kusoma lenyewe linanishinda, ndio sembuse kwenda kusomea udaktari. Baba baada ya kuingia chumbani kwake mama akabaki akitabasamu kwa maana anatambua mimi na kusoma ni sawa na mbingu na ardhi.
“Leo umekomeshwa, si nilikupa nafasi ya kwenda kuchagua chuo gani usome, ukaleta maseke seke yako, sasa baba yako amesha zungumza imekula kwako”
“Sasa mama wewe unahisi kichwa hichi kweli kitaweza kwenda kusomea udaktari?”
“Ahaa mimi hilo sijui, na unafahamu kabisa kwamba ukifeli ni kitu gani huwa kinatokea kwa baba yako”
Mama naye alizungumza na kuondoka sebleni, nikabaki nikiwa nimekaa kimya hata hamu ya kula chakula kwa usiku wa leo imenipotea kabisa. Taratibu nikanyanyuka na kuelekea chumbani kwangu, sikutaka hata kuwasiliana na mtu wa iana yoyote hususani mpenzi wangu, nilicho kifanya ni kuzima simu na kulala fofofo.
***
Siku na masaa yakazidi kwenda haraka sana tofauti hata na siku za kawaida ambzo nilikuwa ninakaa tu nyumbani nikifanya matembezi yangu ya hapa na pele. Sikutamani hata kidogo siku ya kwenda mkoani Kilimanjaro kilipo chuo cha kusomea udaktari ambacho baba aliweza kunitafutia na kupata nafasi hiyo kirahisi kutokana na nafasi yake ya juu serikalini.
“Erick inabidi ukajitahidi tu”
Rose alizungumza kwa sauti ya chini huku akiwa amenigemea kwenye bega langu tukiwa katika fukwe za bahari katika hoteli moja hapa jijini Dar es Salaam.
“Ila kitu ninacho kwenda kusomea sio fani yangu, sio kitu ninacho kipenda”
“Najua Erick ila nenda kajitahidi, kwa maana hivi kukaa tu nyumbani kwa maisha ya sasa utajikuta hata malengo yetu hayawezi kutimia”
“Ina maana na wewe unaungana na wazazi wangu?
“Sio hivyo Erick ila ukweli ndio huo, na hata ukisema kwamba nikusuport wewe, siwezi kubadilisha maamuzi yoyote kwako na wazazi ndio kama hivyo walivyo amua”
Maneno ya Rose nikaona yanazidi kunikatisha tamaa kwa kweli. Sikuona haja ya kuendelea kukaa katika eneo hili, zaidi nilicho kiamu ni sote kuondoka katika eneo hili na kueleka sehemu nilipo liacha gari langu.
“Sasa Erick kuzungumza hivyo mpenzi wangu ndio umekasirika?”
“Ingia kwenye gari nikurudishe kwenu sawa”
Nilizungumza kwa hasira huku nikifungua mlango wa gari langu, Rose hakuwa na jinsi zaidi ya kuingia ndani ya gari langu. Njia nzima ukimya umetawala ndani ya gari, sikutaka kumsemesha chochote Rose kwa maana yeye mwenyewe anatambua kwamba kazi ninayo ipenda mimi ni kufanya biashara, ila wazazi hususani baba ndio analazimisha mimi kurudi darasani.
“Erick”
“Mmmm”
“Unanipenda kweli mpenzi wangu?”
“Hilo unalitambua”
“Sio jibu mpenzi wangu, kama nimekukwaza tafadhali ninakuomba unisamehe mume wangu”
“Nimekusamehe”
“Mbona unanijibu kimikato kato mpenzi wangu, kweli hapo kuna swala la mimi kugombana na wewe wakati mimi nilitoa kama ushauri”
“Tuachane na hiyo mada, na wiki ijayo mimi ndio ninaelekea chuo”
“Mmmm sawa”
Kutokana na foleni za hapa Dar es Salaam, ikatuchukua masaa kadhaa hadi kufika nyumbani kwa kina Rose, nikafungua waleti yangu, nikampatia noti mbili za dola mia mia, akanisogelea na kunibusu mdomoni.
“Nakupenda sana Erick wangu”
“Ninakupenda pia”
“Ushuki kuja kumsalimia mama?”
“Nitamsalimia siku nyingine, muda umekwenda sasa inanibidi kuwahi nyumbani mzee mwenyewe amesha anza uchuro”
“Sawa mume wangu”
Rose akafungua mlango akashuka kwenye gari, akaufunga mlongo na kunipungia mkono. Taratibu nikaondoka na gari kueleka nyumbani kwetu huku kichwani mwangu nikifikiria ni kitu gani ambacho ninaweza kukifanya kumshawishi baba yangu ili kusitisha mpango wake wa mimi kwenda chuo kusoma.
Nikafika nyumbani, kwa bahati nzuri sikukuta gari lake ikiashiria kwamba bado hajarudi nyumbani.
“Erick”
Mlinzi wa getini aliniita ikanibidi kusimama kabla ya kuingia ndani. Akanikimbilia hadi sehemu nilipo simama.
“Vipi kuna nini?”
“Ahaa bosi wangu, nitoe japo pesa ya kiroba”
“Una mpango wa kutumbuliwa jipu na wewe”
“Ahaa kwani nipo bungeni bosi wangu?”
“Ohoo haya”
Nikatoa noti ya shilingi elfu kumi na kumpatia mlinzi ambaye tumezoea kumuita kwa jina la Cholo.
“Asante sana kaka, ila leo ameletwa katoto kazuri hako”
“Katoto kazuri ka nani?”
“Ahaa bi mkubwa si ameleta msichana wa kazi”
“Ahaa”
“Ingia tu humo ndani utakiona”
“Mkali au macho yako hayo ya kipemba kila mwanamke unamuona ni mzuri ?“
“Ahaa kaka hapa kuna wafanyakazi wengi wamekuja na kuondoka na ninawaona ila huyu mmmmm, wewe ingia tu utamuona”
“Sawa”
Nikaachana na Cholo, mimi nikaingia ndani, sikumkuta mtu yoyote sebleni. Nikaelekea moja kwa moja chumbani kwa mama, nikagonga mlango wa chumbani kwake.
“Nani?”
“Mimi”
“Umetoka wapi muda wote huo ndio unarudi sasa hivi?”
Mama akafungua mlango akiwa amejifunga tenge zito kifuani mwake.
“Vipi mbona umelala mapema hivi?”
“Saa nne ni mapema?”
“Ndio”
“Kesho asubuhi tunasafari na baba yako, tunaelekea Iringa mara moja”
“Kufanyaje?”
Kwenye mzinguko yake tu ya kikazi, chakula chako kipo mezani hapo.”
“Sawa, baba amerudi?”
“Anakusikia yupo ndani?”
“Mmmm haya usiku mwema”
Nilizungumza kwa sauti ya chini, nikaelekea chumbani kwangu. Nikabadilisha nguo nilizo zivaa, kisha nikarudi sebleni, nikapakua chakula cha kutosha na kukaa kwenye sofa ambalo siku zote huwa ninapenda kulikaa niwapo hapa sebleni. Wazo la kwenda kusomea udaktari likaanza kunitawala tena kichwani mwangu, nikahisi kichwa kunipasuka kwani kazi ya kuajiriwa huwa sipendi kuzisikia kabisa. Hamu ya chukula pia ikaanza kunipotea mdomoni mwangu, nikarudisha chakula mezani na kuingia chumbani kwangu, nikaoga na kulala.
Kwa mbali nikausikia mlago ukigongwa, nikaupotezea nikihisi kwamba nipo uzingizini. Ila sauti ya mama iliyo niita kwa nguvu ndio ikanikurupusha usingizini.
“Naaam”
“Hembu amka”
Nikajizoa zoa kitandani na kukaa huku nikipiga miyayo. Nikachukua suruali yangu ya mazoezi nikavaa. Nikatoka chumbani na kumkuta mama amesimama sebleni.
“Shikamoo”
“Marahaba, sasa sisi ndio tunaondoka hivi, tutarudi kesho. Hakikisha mazingira ya hapa ndani yanakwenda vizuri. Kuna msichana wa kazi amekuja jana, hakikisha unamuelekeza kazi zote za hapa ndani. Ile tabia yako ya kuleta marafiki zako kuja kufanya Party humu ndani kwangu ikome sawa?”
“Sawa mama”
“Pesa za matumizi zipo kwenye dreasing table chumbani kwangu, kuna vitu vimepungua kwenye friji, hakikisha unaviongeza”
“Poaaa”
Tukasikia honi ya gari, mama akanitazama usoni akanisogelea na kunikumbatia haraka haraka kisha akaanza kutembea kuelekea nje.
“Umependeza mama yangu”
“Asante”
Mama alijibu huku akilikaribia gari la baba, nikapiga hatua hadi kwenye mlango wa sebleni, nikalisindikiza gari la baba linalo toka getini kisha Cholo akalifunga geti. Saa ya ukutani kwa sasa inaonyesha ni saa kumi na moja kasoro, nikajitupa kwenye sofa, usingizi haukuchukua muda sana ukanipitia na kulala fofofo.
“Kaka, kaka”
Sauti nyororo ya msichana ikapenya masikinoni mwangu, nikayafumbua macho yangu. Nikakutana na binti mrefu kwenda juu, ngozi yake watoto wa mjini tunasema ana udongo wa Maka maana yake ni mweupe. Kanga aliyo ivaa, inalionyesha umbo lake maeneo ya mapajani jinsi lilivyo jazia na kukusanya hispi kubwa japo sijaona nyuma, ila nina imani kwamba amekusanya zigo la maana. Sura amebarikiwa kusema ukweli, ana macho malegevu, lipsi nzuri, kijipua kidogo kiasi chenye kuupendezesha uso wake vizuri.
“Naaa”
“Naomba nifanye usafi”
“Kumekucha?”
“Yaa sasa hivi ni saa moja”
“Ohooo”
Nilijidai nina shanga, kama mtu ambaye nina sehemu muhimu ambayo nilipaswa kwenda kwa asubuhi hii ya leo, ila sina chochote, huwa ratiba yangu nikiamka asubihi ni kucheza games kwenye Tv hadi muda wa kifungua kinywa ukifika, basi hapo ndio ninapata ratiba ya kwenda kumtembelea mshikaji yoyote ambaye nitatokea kumchunuku kwa siku hiyo. Nikanyanyuka kwenye sofa huku nikimtazama tazama msichana huyu kwa macho ya kuiba iba.
Kama nilivyo waza kwamba nyuma atakuwa amefungasha zigo la kutosha na ndio kweli. Mwili mzima ukanisisimka, kwa maana siku zote za maisha yangu mwanamke aliye jaliwa kupewa maumbile makubwa ya nyuma kwangu ni ugonjwa mkubwa sana.
“Unaitwa nini?”
“Zari”
“Unajina zuri”
“Asante kaka Erick”
Sauti ya Zari ndio kabisa ikazidi kuniua kwa maana ni nyepesi na ya kutamanisha. Sikutaka kuendelea kukaa hapa sebleni, ili kuendelea kuugulia maumivu haya kwa maana tayari Zari amesha nipagawisha. Nikajitupa kitandani, kw mara kadhaa nikawa ninajigeuza geuza kitandani ili kufuta picha ya Zari ambayo tayari ilisha anza kusumbua ubongo wangu huu.
‘Kwa kichwa hichi kweli, udaktari nitauweza mimi?’
Nilijiuliza huku nikiwa nimelala chali. Nikanyanyuka kitandani na kukaa kitako. Nikaichukua simu yangu iliyopo mezani. Nikakuta missed call za Rose zaidi ya sita alizo piga asubihi hii, ikanibidi kumpigia,
“Umeamkaje?”
“Salama mume wangu, mbona ulikuwa hupokei simu yangu jamani”
“Nilikuwa bado nimelala”
“Ohoo pole sana mpenzi wangu, naimani asira yako kwa sasa imekwisha?”
“Yaa nipo poa”
“Nashukuru kusikia hivyo”
Nikasikia mlango wa chumbani kwangu ukigongwa.
“Honey nitakupigia, nahisi mama ananigongea”
Ilinibidi kumdanganya Rose
“Sawa msalimie mama yangu mkwe’
“Poa nitakupigia”
“Ok”
Nikakata simu, nikausogelea mlango wa chumbani kwangu, nikaufungua na kumkuta Zari akiwa ameshika mopu pamoja na ndoo yenye maji.
“Naomba nideki kaka Erick”
“Sawa, unaweza kuingia”
Zari akaingia na vifaa vyake vya kufanyia usafi, nikapanda kitandani huku nikiyaandaa macho yangu kuangalia mzigo wa Zari kwa umakini zaidi. Taratibu akaanza kupanga nguo ambazo zipo shaghara bagara. Alipo hakikisha kwamba ameziweka vizuri. Akaanza kufuta vumbi baadhi ya vitu ndani ya chumba changu. Muda wote Zari akiendelea kufanya hivyo macho yangu yakawa na kazi ya kuendelea kumtazama kwa umakini. Jogoo wangu aliye anza kukosa aiba taratibu akaanza kuwika kwa kuku huyu mgeni,
“Kaka Erick unaweza kunipisha nikatandika kitanda mara moja”
“Ndio ndio”
Kwa kitendo cha jogoo wangu kunyanyuka sana, ikanibidi kuanza kufikiria ni jinsi gani ambavyo ninaweza kunyanyuka kwenye hichi kitanda, kwa maana nguo niliyo ivaa ni nyepesi sana na inajichora vizuri maungo yangu ya ndani.
“Kaka Erick”
“Mmmm”
“Nyanyuka nitandike kitanda, au unatandika mwenyewe?”
Sasa sijui Zari anafanya makusidi katika kuzungumza na sauti nyororo, au ndio sauti yake.
“Ahhaa nanyanyuka”
Taratibu nikaanza kujivuta kitandani kiana aina hadi nikakanyaga miguu yangu chini. Nikajiweka vizuri nguo yangu na kusimama wima. Nikasogealea sofa langu na kukaa, Zari akapanda kitandani kwangu, hapo ndipo nilipo shuhudia mapaja yake meupe jinsi yalivyo nona, kwa maana kinguo alicho kivaa kimepanda juu na kuepeleka macho yangu kutu katika mapaja hayo. Kijasho cha uchu wa mapenzi kakaanza kunimwagika mwilini mwangu, mapigo ya moyo yakaanza kuenda kasi. Zari kama asiye jua kwamba kuna mgojwa nyuma yake, akaendelea kulivuta shuka la kitanda changu taratibu huku akiwa amebong’oa. Pasipo hata kujielewa, nikajikuta nikiuingiza mkono wangu wa kushoto kwenye suruali yangu na kuanza kumshika jogoo wangu, huku nikimchua taratibu, utamu wa kumchua jogoo wangu ukazidi kupamba moto, nikajikuta nikimtoa hadi nje ya suruali na kuendelea kumvutia hisia za kimapenzi Zari ambaye hajui ni kitu gani kinacho endelea. Gafla Zari akageuka na kunikuta nikiwa katikati ya raha, akahamaki kwa nguvu hadi nikastuka na kujikuta nikianza kuweweseka, nikijaribu kumficha jogoo wangu kwa viganja.
ITAENDELEA
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
🔞Wakubwa tu: Pata mautamu ya chumbani live bila chenga
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI
No comments: