STORY NZURI - MY LIFE 03



ILIPOISHIA
Tulisikia sauti ya kike iliyo tufanya mimi na Chibidu kugeuka nyuma, nikakishuhudia kisu kikubwa kikizama tumboni mwa Chibidu aliye yatoa macho yake huku akimtazama mtoto alieye mchoma, mtoto huyu akainyanyua sura yake huku akizirusha nywele zake ndefu zilizo kuwa zimeifunika sura yake iliyo jaa unga mweupe wa madawa ya kulevye. Sikuamini macho yangu kugundua kwamba huyu ni Judy mdogo wangu ninaye aliye nifanya mimi kuja huku. Nikiwa katika kushangaa shangaa nikamuona mlinzi mmoja akichomoa bastola yake kwa lengo la kumuua Judy aliye endelea kukikandamiza kisu alicho kishika tumboni mwa Chibidu ambaye ndio bosi wao anaye watumikisha katika biashara hii ambayo ni haramu.
ENDELEA
Akili yangu ikafanya kazi haraka sana, nikamrukia Judy na kuanguka naye chini, risasi ambazo tayari zilikuwa zimesha andaliwa kufyatyliwa na mlinzi mmoja Chibidu, kwa bahati mbaya risasi hizo zikampata Chibidu na kumuangusha chini, wasichana wengine waliomo humu ndani wakaanza kuanzisha zogo kubwa sana huku wakiwarukia walinzi hawa, japo walinzi wanajitahidi kuwazuia wasichana hawa wanao onekana kupanga shambulizi hili na walikuwa wanasubiria muanzilishi tu, ila wanashindwa kwa maana sifahamu hata ni wapi walipo toa visu na bisibisi. Walimzi walipo nje wakaingia ndani, kwa kwa haraka nikasimama na kumuacha Judy chini akiwa amelala huku akionekana kushikwa na bumbuazi. Kwa haraka nikaikimbilia bastola iliyo anguka chini ya mmoja wa walinzi wanao endelea kupokea kibano kikali kutoka kwa watoto hawa walio jitolea kufa na kupona. Nikaanza kuwashambulia walinzi wanao ingia humu ndani, watoto wakubwa kubwa, nao wakaokota bastola, kadhaa za walinzi wanao kufa. Kutokana na kushindwa kuhimili kufyatua risasi walijikuta wakishindwa kuzitumia mara baada ya kufyatua risasi moja. Nikamrudia Judy alipo anguka, kwa haraka nikamshika mkono na kunyanyuka naye.
“Twende” Nilizungumza mara baada ya kuwaona watoto wakiatoka nje baada ya kupata upenyo. Judy akaning’ang’ania mkono wangu wa kushoto huku pochi yangu ikiwa kwapani. Tukakimbilia nje, ambapo nikakuta baadhi ya maiti za watoto kwani walinzi waliopo huku nje hawakuwaruhusu watoto hao kukimbia.
“Jibanze hapa” Nilizungumza huku nikihema, nikarudi ndani, nikachukua bastola mbili kisha nikarudi katika eneo nililo muacha Judy aliye jibanza huku akitazama jinsi wenzake wanvyo endelea kuteketezwa. Sikuwa na jinsi ya kufanya zaidi ya kuhakikisha kwamba na mimi ninawashambulia watoto hao. Uzoefu wangu wa kutumia silaha na shabaha niliyo barikiwa na Mungu, imekuwa ni msaada kubwa sana kwangu, watu walio kuwa kwenye kikao humu ndani, nikawaona wakitoka na walinzi wao na kukimbilia kwenye magari walio kuja nayo. Ving’ora vya gari za polisi zikazidi kuwachanganya watu hawa ambao wote wanaonekana ni wauzaji wa madawa ya kulevya, mashambulizi kutoka kwa polisi na wanajeshi wanao ruka ukuta kidogo yakaanza kunipa matumaini kwani waliweza kuwadhibiti walinzi wanao tushambulia. Ndani ya dakika kumi hali ikawa shwari huku walio amua kujisalimisha wakilazwa chini kifudi fudi. Mimi na kundi kubwa la watoto walio kuwa nyuma yangu, tukanyoosha mikono yetu juu kama tulivyo amrishwa na askari hawa wenye bunduki. Waandishi wa habari pamoja na gari za huduma ya kwanza, zikafika katika eneo hili huku kila muandishi akijitahidi kuhakikisha kwamba anachukua taarifa iliyo sahihi, mimi na kundih ili la watoto tukawekwa sehemu maalumu na kuanza kupatiwa huduma.
“Binti habari yako” Askari mmoja mwenye nyota kadhaa begani mwangu alinisalimia huku akiwa ameshika simu ya upepeo.
“Salama shikamoo” “Marahaba. Poleni” “Asante” Nilizungumza huku nikiwa nimekila kichwa cha Judy mapajani mwangu. Nikamuona Dula na dereva taski wakiingia ndani humu, walipo tuona wakaanza kutufwata sehemu tulipo, ila kabla hawajatufikia wakazuiwa na askari.
“Ilikuwaje kuwaje hapa?” Askari huyu anaye onekena ndio mkuu wa hichi kikosi alizungumza.
“Ni stori ndefu” Nilizungumza huku machozi yakinilenge lenga, nikajikuta nikishindwa kabisa kujizuia na kuanza kulia. Askari huyu akanyamaza kimya huku akinitazama. Nikamyanyua Judy ambaye bado haamini kama dada yake nimefika katika eneo hili.
“Jojo?” Judy aliita kwa sauti iliyo jaa mikwaruzo
“Beee” “Upo hai dada?” “Eheeee”
Tukakumbatiana kwa nguvu huku tukilia kwa uchungu sana. Daktari mmoja akanishika bega, taratibu nikamgeukia.
“Tunaomba tumuhudumie” “Judy, Judy, ngoja dokta akuhudumie” Niliuzungumza huku nikimuachia Judy, nikaanza kumfuta machozi mashavuni mwangu kwa viganja vyangu.
“Usiondoke dada”
“Siondoki ninakusubiria hapa hapa” Daktari akamshika Judy mkono na kuingia naye kwenye gari la huduma ya kwanza. Mkuu huyu wa askari akaniomba tuzungumze pembeni. Nikanyanyuka na tukasimama kwenye gari moja la polisi.
“Binti umapajuaje hapa?” Sikuwa na kipingamizi cha aina yoyote zaidi ya kuanza kumsimulia mkuu huyu wa polisi. Nikiwa katikati ya maelezo yangu, mkuu wa mkoa akafika katika eneo hili, watu pamoja na waandishi wa habari wakaanza kuninyooshea vidole huku wakionekana wakimueleza mkuu wa koa jambo fulani. Mkuu wa mkoa akatufwata hadi sehemu tulipo, akasalimiana na mkuu wa polisi kisha nikamsalimia.
“Binti wewe ndio umewaokoa hawa wasichana?” “Ndio muheshimiwa” Mkuu wa mkoa akanitazama mara mbili mbili huku akiwa amejawa na tabasamu pana usoni mwake.
“Umewezaje wezaje kwa maana hili eneo vijana wa mkuu wa polisi hapa kila siku walikuwa wanashindwa kabisa kupata ushahidi wa kumkamata huyu mshenzi na kundi lake” Ikanibidi kuanza kusimulia upya kabisa, nikaeleza hatua nilizo zichukua hadi kuingia ndani ya jumba hili, matukio niliyo yaona chini ya ardhi na wingi wa mabinti wa kike ambao walikuwa wakitumikishwa kinyama sana. Hadi ninamaliza kuzungumza nikamuona mkuu wa mkuo akiwa amejawa na hasira iliyo mfanya hadi mwili mzima kumtetemeka, macho yakawa mekundu zaidi pale nilipo muonyesha maiti za watoto wa kike wezangu walio kuwa anajitahidi kuyaokoa maisha yao.
“Mkuu muwekeeni ulinzi huyu binti, hakikisheni kwambaa anakuwa salama kwa maana mtandao huu kila siku mulikuwa hamtoi sababu za kueleweka. Binti kesho alfajiri na mapema utakuja ofisini kwangu na nilipo kuwa ninakuja huku muheshimiwa raisi ameniomba nikukutaishe naye” Nikajikuta nikijawa na bumbuwazi kubwa na kushindwa kuzungumza kabisa.
“Usiogope binti kwani hii kazi ulio ifanya hata jeshi letu ilishindwa kuifanya” “Nashukuru sana mkuu wa mkoa” Tukapeana mikono ya mkuu wa mkoa, kisha wakaondoka na mkuu wa polisi na kuelekea katika eneo ambalo ndipo madawa ya kulevya yaliyokuwa yanawekwa kwenye vifuko, nikaisogelea gari ya wagonjwa alipo ingizwa Judy nikamkuta akiwa ametundikiwa dripu la maji.
“Daktari kuna tatizo kubwa katika afya ya mdogo wangu?” “Alipunguliwa na maji mwilini mwake majibu ya vipimo zaidi yataendelea kutolewa hivi karibuni” “Nashukuru” Tukajikuta tukitabasamu mimi na Judy, taratibu nikamshika mkono wake wa kulia ambao haujachomwa sindano ya kuingiza maji katika mishipa yake. Kundi kubwa la waandishi wa habari, wakiwa na kamera zao pamoja na vinasa saiuti wakanifwata katika eneo nililo kaa.
“Labda ujitambulishe kwa wananchi wakujue jina lako” Muandishi mmoja alizungumza huku akinisogezea karibu kinasa sauti chake.
“Ninaitwa Jojo?” “Labda uwaelezee Watanzania ni jinsi gani ilivyo kuwa?” Nikabaki na kigugumizi kwani kwenye maisha yangu sijawahi kuhojiwa na waandishi wa habari, ninakumbuka waandishi wengi wa habari nchini China walivyo kuwa wakichukua matukio mazima ya kukamatwa kwangu.
“Jamani tunawaomba mumuache kwanza, kesho nitaanda mkutano na mutazungumza naye” Sauti ya mkuu wa mkoa ikanifanya nigeuke pembeni yangu na kumtazama. Nikasogea pembeni na kumuacha mkuu wa mkoa kuzungumza na waandishi hawa wa habari. Judy alipo maliza kuhudumiwa, nikaruhusiwa kuondoka naye, mkuu wa mkoa akatoa gari lake pamoja na gari moja ya polisi iliyo tusindikiza kurudi katika hoteli ambayo nilikuwa nimefikia. Kila ninavyo mtazama Judy, machozi ya furaha yananilenge lenga, haukuzungumza chochote hadi tunafika hotelini, wahudumu ambao nao walikuwa wakitazama habari iliyo tokea muda mfupi ulio pita, wakanichangamkia sana baada ya kuniona.
“Karibu sana na pole sana” Dada wa mapokezi alizungumza huku akinikabidhi funguo yangu.
“Asante sana” “Niwatakie usiku mwema” “Nawe pia” Tukapandisha gorofani na Judy, tukaingia katika chumba chetu, kitu cha kwanza nikamkumbatia kwa nguvu huku nikiangua kilio kilai sana, Judy naye akashindwa kabisa kujizuia na kuungana nami katika kulia. Zaidi ya dakika hamsini tulijikuta katika kuomboleza hadi kichwa kwa upande wangu kikaanza kuniuma.
“Judy nenda ukaoge”
Nilizungumza kwa sauti ya upole iliyo jaa mikwaruzo mingi.
“Sawa” Taratibu Judy akaniachia, akavua nguo zake na kuanza kuelekea bafuni, kwa jinsi mdogo wangu alivyo konda nikajikuta nikilia tena, kwani amekuwa kama tu mtu aliye kondoea kwa maradhi ya ugonjwa wa Ukimwi. Taratibu nikapiga hatua hadi kwenye mlango wa bafuni, nikamsikia Judy akilia bafuni, kilio chake kikanifanya nishindwe kabisa kuhimili kuendelea kusimama hapa mlangini, nikafungua mlango na kumkuta akiwa amejibanza kwenye moja ya kona ya bafu huku akiendelea kulia.
“Judy Judy usilie mdogo wangu usilie” Judy hakunijibu kitu chochote zaidi ya kupanua miguu yake na kunionyesha kitumbua chake jinsi kilivyo chakaa na inaonyesha dhairi kuna wanaume waliokuwa wakimbaka.
“Dada, sina bikra yangu, sina bikra yangu niliyo ahidi kujitunza miaka yangu yote” Judy alizungumza uku akijiingiza kidole ndani ya kitumbua chake, machozi yakaendelea kunimwagika usoni mwangu.
“Tazama, tazama mkund** wangu” Judy akanionyesha jinsi mkund** wake ulivyo tanuka ikionyesha wanaume walikuwa wanamuingilia kinyume na maumbile.
“Walikuwa wakinifi*** mimi” Maneno ya Judy yakanifanya nijawe na hasira kali na uchungu, nikajikuta chuki dhidi ya wanaume ikaanza kuzaliwa katika moyo wangu, jinsi walivyo muharibu mdogo wangu kusema kweli wanaume wote niwanyama, wanaume wote hawana huruma kwa viumbe vinavyo itwa wanawake. Ubaya mdogo wangu bado ana umri mdogo sana. Umri wake na vitendo alivyo fanyiwa wala haviendani kabisa.
“Judy” “Eheee” “Nitahakikisha kwamba washenzi wote walio fanya hili jambo lazima wafe” “Umesha waua” “Una uhakika?” “Ndio” “Kesho asubuhi na mapema tutakwenda hospitali ukachunguzwe afya yako” “Sawa” Nikamnyanyua Judy na kuanza kumuogesha, tukarudi chumbani, nikampigia simu muhudumu na kumuagiza chakula, cha kumshukuru Mungu hoteli hii chakula kinapatikana kwa muda wowote hata kama ni usiku sana. Haukupita muda mrefu muhudumu akatuletea chakula, nikamlipa kiasi cha pesa anacho kihitaji na akatoka chumbani humu. Nikaufunga mlango kwa ndani na kurudi katik sofa na kukaa.
“Inabidi ujitahidi kula sana” Nilizungumza huku nikimtazama Judy, uzuri alio kuwa nao kusema kweli umepotea kabisa usoni mwake.
“Sawa”
Tukaanza kula huku Judy akila kwa kasi kubwa sana, inaonyesha dhairi hakula chakula kitamu kwa kipindi kirefu.
“Ilikuwaje ukawa ndani ya ile nyumba pale?” “Kuna, kuna siku hivi walikuja wakaka wawili pale mtaani” Judy alizungumza huku akitafuna paja la kuku alilo lishika mkononi mwake.
“Eheee” “Basi nakumbuka waliniuliza kwa mwenyekiti ni wapi?” “Mwenyekiti wa mtaa?” “Eheee, sasa mwenyekiti si anaishi kule kwenye vichochoro, mimi nikawapekela kutokana walinipa shilingi elfu kumi. Tukiwa njiani ndio sijui walinifanyaje, nikajukuta nimeishiwa nguvu na kulala.” “Baada ya hapo” “Ndio nikajukuta mule ndani, nikiwa na wasichana wengine, mule ndani mtu ukiwa hufanyi kazi wapo tayari hata kukuua” “Kwa hiyo kuna wezenu ambao walisha hawi kuuwawa?” “Ndio wapo walio wahi kuuwawa” “Pole sana mdogo wangu, eheee ikawaje?” “Basi ndio nikaanza kufanya kazi, yule muarabu muarabu niliye mchoma kisu, ilikuwa ikifika usiku ninapelekwa chumbani kwake ananiingilia kilazima hadi anapo ridhika, dada yangu niliteseka kwa kweli”
Judy alizungumza huku machozi yakinimwagika usoni mweke, sikuhitaji aendelee kusimulia, nikakilaza kichwa chake juu ya bega langu huku nikimbembeleza taartibu. Baada ya muda Judy akapitiwa na usingizi huku akiwa ameshika mnofu wa paja la kukua, taratibu, nikamnyanyua na kumlaza kitandani, nikachukua kipande cha nyama alicho kishika na kukirudisha kwenye sahani. Nikaichukua simu yangu kwenye pochi, nikapiga hatua hadi dirishani, nikafunua pazia na kuegemea pembeni huku nikitazama mandhari ya eneo hili la Dar es Salaam.
‘Inabidi nipate line ya simu ya hapa Tanzania.’
Nilizungumza huku nikiitoa line ya simu niliyo kuwa ninaitumia nchini China. Sikupata usingizi kabisa hadi alfajiri na mapema, nikaingia bafuni na kuoga nilipo maliza nikarudi chumbani, nikamuamsha Judy.
“Hei, unajisikiaje?” Nilimuuliza Judy huku nikimtazama usoni mwake.
“Uchovu tuu” “Amka leo tuna mizunguko mingi” “Dada naomba nilale hata kidogo” Nikatabasamu kwa maana ninaufahamu uvivu wa Judy katika swala zima la kuamka kwani tangu kipindi anasoma darasa la kwanza tulikuwa tunasumbuana hivi hivi.
“Sawa ninakwenda kukuchukulia nguo dukani, nikirudi unaamka tunakwenda hospitalini.” “Haya”
Nikanyanyuka nikajiandaa vizuri, nikatoka chumbani, nikiwa katika kordo ya kuelekea katika lifti nikakutana na wanaume wawili warefu ambao miili yao imejazia. Mwanaume mmoja akatoa bastola yake huku akisimama mbele yangu.
‘Kwa usalama wako ongozana nasi sasa hivi la sivyo tutakumwaga utumbo wako’
Mwanaume huyu alizungumza kwa sauti nzito huku bastola yake akiielekeza tumboni mwangu, jambo lililo nifanya nishushe pumzi nyingi huku nikitafakari cha kufanya.
ITAENDELEA




Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: Pata mautamu ya chumbani live bila chenga
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI



No comments:

Powered by Blogger.