Yajue majina yanayoongoza kudumu na kutokudumu katika ama Mahusiano au Ndoa

Related image

Kwa Utafiti wangu binafsi ambao niliangalia Vigezo vyangu vyote muhimu ambavyo huwa vipo ndani ya himaya ya Watu wanaopendana au walio katika Mahusiano au wale ambao ni Wanandoa kabisa nimegundua kwamba wenye majina yafuatayo ya Kiume na Kike huongoza na kutokuongoza kudumu katika ama Mahusiano au Ndoa.

Majina ya Wanaume ambao huongoza kudumu katika Mahusiano yao / Ndoa zao:

  1. Benedict
  2. Charles
  3. Lucas
  4. Samson
  5. Erick
  6. Martin
  7. Antony
Majina ya Wanawake ambao huongoza kudumu katika Mahusiano yao / Ndoa zao:
  1. Caroline
  2. Lucy
  3. Vicky
  4. Grace
  5. Angela
  6. Anna
  7. Elizabeth
Sasa Kazi ipo hapa kwa haya yafuatayo.......

Majina ya Wanaume ambao huongoza kuwa na Mahusiano mabaya / Ndoa kutokudumu ni:

  1. Andrew
  2. Emanuel
  3. George
  4. Peter
  5. Fredrick
  6. Pascal
  7. Kelvin
Majina ya Wanawake ambao huongoza kuwa na Mahusiano mabaya / Ndoa kutokudumu ni:
  1. Irene
  2. Catherine
  3. Suzanne
  4. Vanessa
  5. Brenda
  6. Esther
  7. Sarah
ANGALIZO.

Pongezi / Kongole pamoja na lawama / shombo zisielekezwe Kwangu moja kwa moja bali ziende katika Utafiti na sikumbuki ni lini nimewahi kufanya tafiti halafu ikakosea na ni vyema sasa Wapendao mkayajua mapema majina ya bahati na ya nuksi hapo juu ili msije mkali na kujuta mbele ya safari zenu za Kimahusiano.

Nawasilisha.



Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  Install Application ya Raha Ya Mapenzi Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi



No comments:

Powered by Blogger.