HIVI NDIVYO VITU AMBAVYO HUTAKIWI KIVIFANYA WAKATI UNAFANYA MAPENZI.SOMA HAPA NIKUJUZE
Unapokuwa kitandani na mpenzi wako kitu cha kwanza kukifikilia ni kiasi gani unaweza ukamfurahisha mpenzi wako kwa maana nyingine kumridhisha.Ili kufanya ndoto yako ya kumridhisha mpenzi wako isipotee basi soma hapa hivi vitu nilivyo kuandalia hapa chini vinaweza kukusaidia kudumisha penzi lenu.
1.USIACHE KUPIGA BUSU[KISS]Watu wengi wanapokuwa katika mambo yetu yale huwa wanajisahau sana kupigana busu wakidhani kuwakufanya hivi kutapunguza utamu wa penzi au mzuka utapungua,kumbe sio ivo jitahidi kumbusu mpenzi wako wakati wa majamboz,Kwa kuangalia pozi ambalo linaweza kumsaidia mpenzi wako akubusu vizuri.
2.KUMN’GATA MPENZI WAKOBaadhi wa watu hupendelea kung’ata wapenzi wao hasa hasa mapajani, makalioni masikioni,shingoni kwenye chuchu na sehemu nyingine mabli mbali,sawa ni jambo zuri lakini unashauliwa uwe makini sana na swala hili kwani unaweza kumng’ata vibaya mpenzi wako na kumsababishia maumivu makali sana.
3.USIDILI NA UKE AU UME PEKEEMnapokuwa mko katika swala la kufanya mapenzi usidili na sehemu za siri tu,dili na sehemu nyingine pia za mwili hii itakusaidia kukujengea uwezo wa kujua ni sehemu gani mpenzi wako anasisimka zaidi.
4.KUMLALIA MPENZI WAKO.Huenda wengine mkashituka,naposema kumlalia mpenziwako namaanisha kuweka uzito wako wote kwa mpenzi wako.Katika hili swala na mapenzi yakiafrika tumezoea mwanamke chini na mwanaume juu lakini pia katika kufanya tendo la ndoa unabidi uwemakini maana kuegemeza uzito wako wote pale kutamfanya ashindwe kupumua vizuri mwishowemzuka kupungua kabisa.
5.KUFIKA KILELENI MAPEMA SANA AU KUCHELEWA SANA.Inabidi ujitahidi sana kukontrol mwili wako ili usiwe unawahi sana au kuchelewa sana kufika kileleni,kwani kufanya hivo kutamfanya mpenzi wako kutoishiwa hamu wakati yeye bado anataka mchezo.Napia kufanyamapenzi kwa muda mrefu kutamboa mpenzi wako na kumletea maumivu tu na kupotea kwa raha ya tendo. Kwa leo ni hayo tu lakini pia tukutanehapo keshoAsanteni sana na jioni njema
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI
No comments: