Je, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole na kuna madhara gani ukisugua uume na vidole?

Related image
Ndiyo, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole. Anaposuguliwa uume na vidole, msisimko wa mwili unaongezeka na damu zinaingia kwenye mishipa ya damu katika uume. Basi, uume unasimama na mara nyingi ukiendelea kusuguliwa mvulana anamwaga mbegu zake. Kusugua uume ni njia salama ya kumaliza ashiki ya kutaka kujamii ana. Hakuna madhara yoyote ya kiafya wala kiakili kama uume unasuguliwa. Watu wengine wanasema kwamba kupiga punyeto inasababisha shida ya kisaikolojia kutokea na nguvu ya kiume kupungua. Wengine wanasema kwamba mtu anayepiga punyeto atashindwa kujamii ana na mwanamke. Lakini si kweli, ni uvumi potofu tu.
🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole na kuna madhara gani ukisugua uume na vidole?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI



No comments:

Powered by Blogger.