Related image Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii. Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi katika jamii yetu. Hata hivyo, utafiti unaonesha kwamba wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa kuwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo’ la kuwasaidia kuamsha hisia zao. Kwa wanaume, ukosefu wa nguvu ni jambo linalouma na kuondoa kabisa ujasiri. Wengi kati yao wako tayari kutumia pesa na uwezo wao wote kuhakikisha kuwa heshima ya tendo la ndoa ikuwa katika miliki yao daima. Lakini, watafiti wa masuala ya mapenzi nikiwemo mimi, tumegundua kuwa wengi kati ya hao wanaolalamika kupungukiwa nguvu za kiume, hawafahamu chanzo cha matatizo na namna wanavyoweza kuepukana na kasoro hizo. Ushahidi uliopatikana kwa waathirika wa tatizo hili, unaonesha kuwa wanaume wanapokabili upungufu wa nguvu za kiume huishia kujuta na kujilaumu wenyewe bila kutazama upande wa pili wa washirika wao, namaanisha wanawake. Zipo kesi za wanaume kujiua au kujinyofoa sehemu zao za siri kwa sababu ya kushindwa katika tendo la ndoa. Hali hii inatoa picha kwamba wanaume wengi hujitwika mzigo wa lawama wenyewe. Dokta Bianca P. Acevedo kutoka Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara anasema, wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo nami nalithibitisha kwa ushahidi wa kitaalamu ufuatao: 1: KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu. Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa nguvu za kiume kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!” 2 : UJUZI Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake. Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo. Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu. USAFI Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Sote tunafahamu umuhimu wa usafi wa mwili na kero za uchafu wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. Unadhifu wa mavazi na mwili ni muhimu sana katika mapenzi. GUBU Jambo lingine linaloweza kumsababishia mwanaume upungufu wa nguvu za kiume ni gubu au karaha za maneno ya uchokozi yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Uchokonozi wa mambo, ugomvi, usaliti na hali ya kutokuwa na staha ni mambo yanayosababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanamke anapokuwa mwingi wa maneno ya kashfa, dharau na matusi huweza kumfanya mume amchukie na kutopenda kushiriki naye tendo. Uchunguzi unaonesha kwamba wanawake walioolewa wenye tabia hii, huwafanya waume zao wawe na msisimko wa kimapenzi kwa wanawake wa nje kuliko wake zao hao. USALITI Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapoona, kuhisi au kubaini kuwa anasalitiwa, huumia sana moyoni, maumivu ambayo hatimaye humfanya muhusika kuwa na mawazo mengi ambayo humuondolea hamu ya tendo. Naomba nimalizie kwa kusema mada hii imezungumzia zaidi wanawake, lakini vipengele vilivyomo kwenye somo hili vinatumika pia kwa upande wa wanaume kuwasababishia wanawake matatizo ya kupoteza msisimko wakati wa tendo.

JE,UNAWEZAJE KUFANYA MAPENZI UKIWA MWEZINI/UKIWA KWENYE SIKU ZAKO AMA UKIWA UNATUMIKA....??
NA JE SITAPATA MADHARA..???
ni matumaini yangu kua umzima sana na unaendelea kuimalizia weeknd yako hapo ulipo ukiwa na fuaraha tele!
leo nimeona nizungumze huu ya jambo fupi sana na jambo lenyewe ni hili...shuka nalo mwenyewe!
Kungonoka wakati wa Hedhi
Kwa baadhi ya wanawake wakati unakaribia kupata siku zako, uko hedhini au umemaliza nyege huwa nyingi sana na za ajabu hivyo inakuwa ngumu kupitisha wiki nzima bila "huduma" na hivyo hulazimika kufanya mapenzi wakiwa hedhini.Natambua kuna watu wanaamini kuwa damu ya mwezi ni uchafu na vilevile kutokana na imani za dini.
Kwanza unatakiwa kuondoa imani kuwa Damu ya hedhi ni uchafu kwa vile sio uchafu, ni kweli huwa na harufu mbaya ikiwa hutobadilisha "nepi" yako kwa zaidi ya masaa 6. Unashauriwa kubadili kila baada ya masaa matatu na hakikisha unajiswafisha at least mara tatu kwa siku (nina maana kuoga na kuondoa mabaki ya damu kule ukeni)
Kwa vile ktk kipindi hiki nyege huwa kwa wingi basi hata utamu wa kufanya mapenzi huwa zaidi na vilevile unakuwa "huru" kutopata mimba ikiwa tu tarehe zako hazina mizengwe(hazibadiliki) vinginevyo usithubutu kwani wakati mwingine hedhi ikianza inakuwa sio hedhi bali mshituko/stress na hedhi inaweza kuanza kesho yake au siku 3 zijazo hivyo unatakiwa kuwa na uhakika kuwa damu yako ni hedhi (zingatia tarehe na epuka kujipa "stress" zisizokuwa za lazima).
Ngono ktk kipindi hiki hufanywa kama kawaida ila tofauti ni kuwa unapaswa kujiswafi na kuhakikisha mabaki yote ya damu ukeni hayapo (mpaka utakapoona kidole kinatoka kisafi bila tone la damu), pale kitandani weka taulo au kitenge/khanga iliyokunjwa ili kutochafua shuka kisha jiachie na fanya mapenzi.
Mkao mzuri wa kufanya wakati wa hedhi ni "spo*ony"(lala ubavu mwanaume anakuwa nyuma yako), kifo cha mende....ila ukiwa chini usipanue sana miguu na wala usiikunje kama V.
Ikiwa unasumbuliwa na matatizo ya tumbo la hedhi basi kufanya mapenzi wakati wa siku zako hupunguza maumivu hayo.
Baadhi ya wanaume hufurahia kufanya mapenzi wakati wake/wapenzi wao wako hedhini wakidai kuwasogeza karibu zaidi kutokana na "nature"
naomba nieleweke sana katika hili...
zingtieni usafi sana nyie wanawake sio pedi moja kutwa nzima ooh......badilishen mara kwa mara na muoge na msisahau kujiswafi kiule chioni kwa bibi ili kuondoa mabaki yaliyopo...na hapo mtafurahia na kuendelea kuwapa mautamu maboy zenu wale ambao wanapenda kudooo mkiwa kwa zile siku zenu...
mi nimemaliza na nishafanya yangu..hebu na nyie fanyeni yenu!
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI
No comments: