STORY NZURI - AM NOT A DOCTOR 03

Related image

ILIPOISHIA
“Ila kaka Erick unaumwa?”
“Mnyonye bwana”
Nilizungumza kwa sauti ambayo hata utokaji wake ni mdogo sana, msisimko ambao ninaupata sijawahi kuupata kwenye maisha yangu. Taratibu Zari akamuingiza jogoo wangu mdomoni mwake, nikayafumba macho yangu kwa raha huku nikishusha pumzi nyingi. Zari akashika makend** yangu na kuyapa huduma ya kuyanyonya hapo ndipo raha ikazidi mara dufu. Nikafumbua macho yangu kuangalia jinsi Zari anavyo ninyonya kwa raha, ila hata kabla sijayafikisha sehemu anapo ninyonya Zari, macho yangu yakakutana na Rose akiwa amesimama mlangoni kwa hasira kali akishuhudia uchafu wote ninao ufanya na Zari.
ENDELEA
Rose akaachia msunyo mkali na kuondoka kwa hasira chumbani kwangu, Zari akataka kutazama nyuma ila nikamuwahi kuzuia kichwa chake na kiganja chake.
“Nimesikia kama mtu akisunya?”
Zari aliniuliza huku akinitazmaa usoni mwangu.
“Ahaa hakuna mtu”
“Wewe hujasikia?”
“Nahisi ni huko nje”
“Nje!!?”
“Yaa ngoja, ngoja nikaangalie”
“Subiri nikaangalie mimi”
“Hapana wewe kaa hapa ngoja nikatazame”
Zari hakuwa na kipingamizi tena, nikajifunga taulo langu na kutoka chumbani kwangu haraka. Mlango wa sebleni nikaukuta wazi. Moja kwa moja nikakimbilia nje, nikamuona Rose akitoka getini kwa haraka.
Nikaaza kukimbia hadi getini, nikamshuhudia Rose akitokomea na dereva pikipiki.
“Mkuu imekuwaje?”
Cholo akanitazama huku nikifunga geti nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu.
“Hakuna kitu”
“Naona mchumba ametoka akiwa amekasirika?”
“Haikuhusu Cholo”
Nilizungumza na kuondoka getini huku nikijifunga taulo langu vizuri kiunoni. Nikarudi chumbani kwangu, nikamkuta Zari akiwa amejilaza kitandani mwangu, huku amevalia bikini na siridiria, nguo zake za juu tayari aamesha zivua. Nikaufunga mlango kwa ndani huku macho yangu nikiwa ninatazama katikati ya mapaja yake, sehemua mbayo inatushanganya wanaume wengi sana kwenye miili ya wanawake.
“Umemuona huyo mtu?”
Zari aliuliza kwa sauti iliyo jaa mahaba, woga wa kuachwa na Rose, likaanza kuniondoka kichwani mwangu.
“Hakuna mtu”
“Ahaaa”
Nikapanda kitandani taratibu huku nikiendelea kuutazama uzuri wa umbo la Zari. Kusema kweli Rose ni mzuri ila Zari amemzidi Rose kwa asilimia nyingi sana. Uzuri wa Zari, umbo lake limekatika vizuri sana, hana tumbo kubwa kama ilivyo kuwa kwa Rose ambaye ana tumbo kubwa kiasi. Zari akanipokea taratibu kwa mikono yake kuichanua. Akaipitisha mgongoni mwangu, huku aninivutia mwilini mwake. Midomo yetu ikakutana kwa ukaribu sana. Zari taratibu akayafumbu macho yake, tukaanza kunyonyana midomo yetu huku kila mmoja akiwa katika hisia kali za mapenzi. Zari hakusita kuipitisha mikono yeka katika kila kona ya mwili wangu.
Akamshika jogoo wangu na kuendelea kumchua taratibu kwa viganja vyake vilaini sana. Sikutaka na mimi kujizubaisha, nikaupistisha mkono wangu wa kulia kwenye mbavu zake hadi kwenye kalio lake ambalo kusema kweli limenona kisawa sawa.
Mvurugano ambao unaanza hapa kitandani, kusema kweli umekata hata maumivu ambayo nipo nayo. Kila mmoja anahakikisha kwamba anamkamua mwenzake hadi kamasi la mwisho, na ndivyo ilivyo, Zari huyu bintii wa kichaga anajua jinsi ya kukata kiuno hususani pale anapo mkalia jogoo, anajua jinsi ya kutoa miguno ya kumteka mwanaume yoyote. Uzuri ameamua kujiachia, hajibani bani kwangu unaweza kusema kwamba tumejuana kwa siku nyingi ila ukweli ni kwamba ni leo tu ndio tumejuana.
Hadi tunafika tamati kila mmoja jasho linamwagika kisawa sawa.
“Zari hivi wewe ni mchaga kweli?”
“Aki ya Mungu mimi ni mchaga, kwa nini unaniuliza hivyo?”
“Sijawahi kuona mchaga anaye jua mapenzi kama wewe”
“Unataka kuniambiwa kwamba wachaga wote ulisha wahi kuwapitia?”
“Hapana, ila huwa ninasikia wanawake wakichaga, hawajui mapenzi ya kumburudisha mwanaume hususani kitandani”
“Hahaaa unisifurahishe Erick, huyo aliye kuambia amekudanganya”
“Mmmm, umenitoa jasho hadi la kwapa”
“Hahaaaa Mungu wangu, jasho la kwapa hili nalo kubwa leo”
“Ohhoo umenitoa jasho lwa kwapa, hapa nilipo yaani najihisi kunuka kikwapa”
“Twende tukaoge”
“Mwenyewe nilihitaji kuzungumza hivyo”
“Ila ujihisi maumivu kwenye hizi sehemu ambazo umeumi?”
“Hapa damu ina chemka, ila nikitulia ndio nitajisikia maumivu sana”
“Yaani wakaka wa huku wana tabia mbovu kama wale wa ngarenaro”
“Tena yule jamaa, nitahakikisha ninamfundisha adabu”
“Ahaa achana naye bwana, usipende kulipiza kisasi, jamaa mwenyewe anaonekana hana mbele wala nyuma”
“Hata kama, ujue amenidhalilisha sana”
“Natambua, na ninajua kwamba yote ni kwajili yangu. Ndio maana hata mimi nimejikuta nikufungua moyo wangu haraka sana kwako, kutokana na kunijali kwako”
“Kweli?”
“Ndio, unajua kujali, unajua ni muda gani mwanamke anahitaji kuapata raha. Sikuwahi kutembea na mwanaume akiwa amenishika mkono kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu”
“Mimi ni mwanaume wako wa ngapi?”
“Wa pili, wa kwanza nilikuwa naye ila niliachana naye”
“Kisa nini cha kuachana?”
“Alitembea na mdogo wangu anaye nifwata, iliniuma sana nikaona niachane naye, yaani ni bora mwanaume akatembea na rafiki yangu kuliko mdogo wangu wa baba mmoja na mama mmoja iliniuma sana”
“Pole sana, twende tukaoge”
Tukanyanyuka kitandani na kuingia bafuni, tukaogesha huku tukicheza michezo ya hapa na pale. Tukatoka bafuni, Zari akaeleka chumbani kwake kwa ajili ya kuvaa na mimi nikabaki chumbani kwangu na kuanza kuvaa. Wazo la Rose likanijia kichwani mwangu, nikaitafuta suruali yangua mbayo nilikuwa nimeivaa kipindi nikielekea sokoni, nikaanza kuipapasa kwenye kila mfuko nikitafuta simu yangu, ila sikuweza kuiona kabisa. Nikajikuta nikihisi kuchanganyikiwa, si kwamba simu yangu ni ya garama, ila katika simu yangu kuna vitu vyangu muhimu sana. Nikaendelea kuitafuta kwenye kila kona ya chumba changu ila sikuiona. Jasho la woga na wasiwasi likaanza kunimwagika, nikatoka nje nikiwa na funguo ya gari, nikafungua mlango wa gari, cha kumshukuru Mungu nikaikuta ikiwa pembeni ya siti dereva.
Nikashusha pumzi nyingi huku nikiwa ninaichukua, nikaitazama, nikakuta missed call zaidi ya ishirini na tisa, meseji kumi na mbili. Nikafungua missed call hizo, missed call kumi zimetoka kwa Rose huku nne zikitoka kwa mama Rose. Nikafungua meseji moja ambayo ni ya mama Rose, macho yakanitoka kwa kile nilicho kutana nacho.
(ERICK MWANANGU AMEKUNYWA SUMU KWA AJILI YAKO, AKIFA MIMI NA WEWE)
Mwili mzima nikahisi ukikosa nguvu, nikahisi kuchanganyikiwa sana. Hata nguvu za kuishika simu nikajikuta zikiniishia na kuiweka kwenye siti ya dereva. Kwa jinsi mapigo ya moyo yanavyo kwenda kasi ni ziaidi na hata na mwanzo nilipokuwa nikiitafuta simu yangu.
“Erick”
Saiuti ya Zari niliisikia pembeni yangu na kunifanya nistue sana, nikamtazamana na kubaki tukiwa tumesimama huku tumetazamana akionekana kunishangaa sana.
“Vipi una tatizo gani?”
“Eheee”
“Unatatizo gani, mbona jasho linakumwagika usoni mwako”
“Ahaa ahaa hamna kitu chochote”
“Nikuandalie chai na nini?”
“Chohote tu”
“Sawa, ila unaonekana huna wasiwasi mwingi sana”
“Hapana kuna maswala ya kibiashara yamenichanganya kidogo hapa, hembu nenda kaniletee viatu ndani”
“Vipi hiyo?”
“Zile raba nyeusi nilizokuwa nimezivaa”
“Sawa”
Zari akaondoka, nikachukua simu na kusoma meseji ya Rose, ambayo nayo inazidi kuninyong’onyeza.
‘ERICK SIAMINI KWAMBA WEWE NDIO WA KUNIFANYIA HICHI AMBACHO UMENIFANYIA. NINAJIUA ILI UBAKI NA HUYO MWANAMKE AMBAYE UPO NAYE. NINAWATAKIA MAISHA MEMA’
Nikahisi machozi kunilenga lenge, kwa maana hii ndio mara yangu ya kwanza kuchepuka kwenye maisha yangu na ninakutana na matatizo makubwa kama haya. Zari akaniletea raba zangu, nikavaa haraka.
“Ninarudi muda si mrefu hakikisha kila kitu kinakuwa vizuri”
“Sawa Erick, ninakupenda”
“Ninakupenda pia”
Hata hiyo nakupenda pia imetoka kiubishi tu, laiti Zari angejua msalaba ambao nimeubeba kwa hivi sasa wala asinge diriki hata kuzungumza maneno ya namna hiyo. Nikaingia kwenye gari langu, nikaliweka sawa na kwa kasi nikaelekea getini. Nikapiga honi kwa nguvu na kumstu Cholo aliye jilaza kwenye kiti cha uvivu kilicho tengenezwa kwa plastiki.
“Fungua geti wewe”
Nilimfokea kwa hasira, kwa haraka Cholo akafanya kama vile nilivyo mueleza. Kitendo cha geti kufunguliwa nikatoka kwa kasi ya ajabu kuwahi nyumbani kwa kika Rose. Barabara nzima ninaendesha gari kama mwendawazimu, nikafanikiwa kufika nyumba kwao salama salimini.
Kwa haraka nikashuka kwenye gari, nikawasilimia wamama wawili nilio wakuta hapa kibarazani. Hawakuniitikia kwa furaha, nikawapita na kuingia ndani kwa haraka nikaelekea kwenye chumba cha Rose kwenye hii nyumba ambayo ina wapangaji wengi.
Nikagonga ila sikupata majibu yoyote ya kujibiwa ndani, nikajaribu kusukuma ndani ila mlango umefungwa.
“Hawapo wenyewe Rose amepelekwa hospitali”
Kitoto kidogo cha kike kilinijibu huku kikiwa kimetokea kwenye mlango wa chumba cha pili.
“Anaumwa na nini?”
“Amekunywa sumu”
Maneno ya mtoto huyu yakazidi kunichanyanya sana. Nikapiga hatua mbili mbele, kisha nikageuka na kurudi sehemu alipo mtoto huyu.
“Eti mtoto mzuri dada Rose amepelekwa hospitali gani?”
“Amepelekwa hospitali ya Mwananyamala”
“Asante mtoto mzuri ehee”
Nikatoka kwa kasi huku nikiwa ninakimbia, nikaingia kwenye gari nikahasau hata kuwaaga wanamama walio kaa hapa nje, ambao nao ni wapangaji katika hii nyumba. Nikaingia kwenye gari na kuanza kuelekea hospitali ya Mwananyamala huku nikijitahidi kupita barabara za mkato kuhakikisha kwamba ninaikimbia foleni ya jiji hili la Dar es Salaam. Nikafanikiwa kufika katika hospitali ya Mwananyamala, nikasimamisha gari langu nikashuka huku nisijue ni wapi ambapo nitaanzia kwa maana kichwa changu kisha changanyikiwa vya kutosha. Sikuwa na jinsi zaidi ya kumpigia mama Rose ili niweze kufahamu ni sehemu gani walipo. Simu ya mama Rose ikaita ila akakata, nikajaribu tena akakata simu. Nikampigia kwa mara ya tatu akapokea.
“Unataka nini wewe malaya mwana haramu usiye na huruma na watoto wa watu?”
Mama Rose alizungumza kwa sauti ya hasira, ila sikuhitaji kukata simu nikajikaza kuzungumza naye.
“Mama shikamoo”
“Mja laana wewe hiyo shikamoo yako ingekuwa ni roho njoo umpe mwanagu”
Moyo ukanistuka sana kwa akuli hii ya mama Rose.
“Mama, mupo hospitali gani?”
“Nimekuambia sihitaji simu yako na huna haya ya kujua nipo wapi”
Simu ikakatwa, jasho jingi likaanza kunimwagika usoni mwangu. Nikabaki nikiwa ninawatazama watu wanao ingia na kutoka katika hii hospitali. Miguu yangu ikaanza kuchukua uamuzi wa kunipeleka sehemu ya mapokezi, kwa maana kichwa changu kinashindwa kabisa kufanya maamuzi.
“Samahani dada”
“Bila samahani?”
“Kuna dada ameletwa hapa amekunywa sumu sijui yupo wodi gani?”
“Mmmm, eti Ester leo kuna mgonjwa ambaye ameletwa amekunywa sumu?”
“Ndio amepelekwa wodi ya wagonjwa mahututi”
“Ni wapi?”
Nilimuuliza nesi huyu, akanitazama usoni mwangu.
“Ester nishikie mara moja nimpeleke huyu kaka”
“Poa ila usichelewe, si unajua watu wengi”
“Sawa”
Nesi huyu akazunguka upande wa pili wa chumba hichi na kutoka, tukaanza kuongozana kueleka katika vyumba hivyo vya wagonjwa mahututi. Tukafika katika eneo la vyumba vya wagojwa mahututi, nikamuona mama Rose akiwa amekaa kwenye benchi la wagonjwa.
“Kaka ndio hapa”
“Asante”
Nesi akaondoka, nikatembea kwa hatua za taratibu, mama Rose alipo geuka na kunitazama akanyanyuka kwa haraka na kunifwata hadi sehemu nilipo, akanitandika kibao kimoja kikali hadi watu walipo katika sehemu hii wakashangaa huku wakitutazama.
“ONDOKA ENEO HILI KABLA SIJAWAITA POLISI WAKAKUCHUKUA MALAYA MKUBWA WEEEE”
Mama Rose alizungumza kwa sauti ya chini ila iliyo jaa hasira kali huku machozi yakimlenga lenga kwenye macho yake.
ITAENDELEA


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI



No comments:

Powered by Blogger.