HEDHI KUBADILIKA.....

Image result for je kubadilika kwa tarehe bleed

Rose, naomba wenye uzoefu wanisaidie, mimi ninatatizo la hedhi kubadilika kila wakati hamna hata mara nikajikuta napata hedhi tarehe sawa hata mara mbili kila wakati inakuja na tarehe yake hii inanipa wasiwasi sana kwani nashindwa hata kupanga siku zangu ili nizifahamu zipi mbaya(ambazo naweza kupata ujauzito) na zipi nzuri(ambazo siwezi kupata ujauzito) hili limekuwa tatizo kubwa sana kwangu...
nishaurini tafadhali mwenzenu....


bassa mussa 0765203999

No comments:

Powered by Blogger.