Je kifaa cha kujisisimua kinaweza kukuzuia kufurahia mapenzi?
Kifaa hicho kimetengenezwa na nyenzo laini ambayo .
Hakifanani na uume na kina rangi za kuvutia.
- Sasa nina uume mpya nina matumaini ya kupata mpenzi
- Kuna faida gani kwa mwanaume kuwa na uume mkubwa?
Mpaka kufikia miaka 21 Leanne hakuwahi kufika kileleni.
Anasema kukua nje ya mji wa Birmingham nchini Uingereza kunaweza hata kumfanya mtu kukaa bila mwenza kwa miaka miwili.
"Ninakumbuka jinsi ninavyojisikia .Siku moja niliamua kwenda kununua kifaa cha kusisimua ambacho nilikuwa ninakitamani kwa muda mrefu," Leane alieleza.
Leane alianza kufanya mapenzi akiwa na umri wa miaka 17 na alipofika miaka 21 tayari alikuwa amewahi kufanya mapenzi na wanaume kadhaa.
Mahusiano yake yote yalikuwa ya kipindi cha muda mfupi.
Kukatishwa Anasema kwamba alikuwa anafurahia kufanya mapenzi kawaida lakini alikuwa afiki kileleni.
"Nilikuwa ninafurahia ile hali ya kukutana na mtu akanitongoza au nkamtongoza.
Nilifurahia kuwa na mahusiano na mtu lakini kiuhalisia nikifanya mapenzi nilikuwa sifurahii chochote.
Sikuwa huru na sikuona umuhimu wa kuwa na uhusiano.
Nilihisi kama nilikuwa napata msukumo kuhisi kitu ambacho nilikuwa sihisi chochote", Leane alisema.
Kadri miaka ilivyozidi kwenda, Leanne alianza kupata hofu juu ya yeye kushindwa kupata raha wakati wa kujiamini.
"Nilikata tamaa na maisha yangu mwenyewe kuliko watu wengine kwa kushindwa kusikia raha wakati wa kujamiiana.
Nilihisi aibu kushindwa kufika kileleni na sikutaka kumwambia mtu yeyote kwa sababu rafiki zangu huwa wanazungumzia mambo hayo kama yakitokea kwao huwa ni aibu kubwa,"Leanne alieleza.Hatimaye aliweza kuongea na rafiki yake wa karibu baada ya muda kupita.
Rafiki yake alimwambia kwamba anashindwa kupata raha kwenye mapenzi kwa sababu hakuwahi kujisaga.
"Kama hujui namna unavyojisikia basi utahangaika sana, inabidi ujifundinze namna nyingine inayoweza kukupa raha", rafiki alimueleza Leanne.
Hatimaye nilihisi raha na kufika kileleni
"Ilikuwa siku ya jumamosi nilirudi nyumbani nikiwa nimenunua kifaa kipya cha kujisisimua na kuanza kukitumia.
Ilinichukua saa kadhaa kabla ya kuanza kufurahia kifaa hicho.
Nilihisi raha ya ajabu kwa sababu kabla sikuwahi kuhisi chochote,"Leanne alisema.
Tiba ya Leanne anasema hali ya kukosa kupata raha wakati wa kujamiiana ilikuwa inampa wasiwasi.
Lakini njia hii ya ktumia kifaa cha kusisimua inamfanya inamuondoa hofu.
Vifaa hivi vya kusisimua kufanya ngono vilianza kushamiri mwishoni mwa mwaka 1980.
Kwa muda mrefu sasa vifaa vya kusisimua vimekuwa vinawavutiawengi.
Vifaa hivi vina miundo mbalimbali, kuna vyenye muonekano wa wanyama kama sungura, ambapo wengi wanaonekana kuvutiwa na muundo wa sungura zaidi.
Mnamo mwaka 1998 , tamthilia ya 'Sex and the city' waigizaji waliacha kutumia midoli ya ngono na kuanza utaratibu wa kutumia vifaa hivyo maalum vya kusisimua.
Pamoja na kwamba midoli ya ngono ilifahamika na wengi lakini mambo yalianza kubadilika.
Kusisimua
Wabunifu wameanza kutengeneza vifaa vya kusisimua vya gharama kulingana na aina ya bidhaa yenyewe.Kwa sasa, midoli iliyopo dukani inatarajiwa kuuzwa zaidi ya hata euro bilioni 22 ifikapo mwaka 2020.
Vifaa hivyo vinatengenezwa kwa muonekano wa kuvutia na wateja wanategemewa kuwa wengi zaidi.
Kwa sasa kuna wabunifu wengi na bidhaa zimekuwa na ubora zaidi.
Hali ambayo inapelekea kuwepo kwa bidhaa zilizobuniwa vizuri zaidi katika muonekano tofauti tofauti na gharama pia zikitofautiana.
Makampuni yameanza kutafuta njia nyingine ya kuweza kuchochea uchangamfu.
Wataalam wa vifaa vya kusisimua na midoli ya ngono wamebainisha hayo.
Gharama nafuu
Lakini teknolojia hii imekuja na gharama.
Unaweza kununua kifaa kimoja kwa Euro 120 kwa kila moja .
Ingawa kuna vifaa vya kusisimua ambavyo vinagharimu mpaka Euro milioni 1 ,kifaa ambacho nje imewekewa madini ya almasi.
Kifaa cha kusisimua chenye gharama hiyo kinatajwa kuwa ghali zidi duniani.
Aidha vipo vifaa vingine ambavyo vinauzwa kwa gharama nafuu.
Kuna vifaa vinavyogharimu euro 8 mpaka euro 15.
No comments: