Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile
Habari BASSA, naamini u mzima kabisa, kwa upande wangu mimi si mzima kimwili lakini nahisi kiakili naelekea kuchanganyikiwa, tangu niolewe ni miezi sita , lakini sina amani kabisa ndani ya nyumba yangu, kwakuwa mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile, hali ambayo mimi binafsi siipendi na naona ni dhambi kubwa sana. Mume wangu aliponioa hakuniambia kuwa anapenda kufanya kitendo kile, hakusema kabisa, ila nilishangaa siku ile ya ndoa usiku akaanza kuniambia uchafu huo, nilikasirika sana na nilimlilia na kumwambia kama ni ndoa na ife, mimi siwezi kufanya kitendo kile, kwa kipindi cha mwanzo alinielewa kabisa, kadri siku zinavyoenda hali inabadilika kila siku, ugomvi hauishi, matatizo kila kukicha,
Kuna siku ilikuwa usiku sana, aliniamsha kwa hasira na kusema kuwa yeye ameshindwa kulala na hakuta kucha kama sitampa anachokitaka, na kujisifia kuwa mbona wake wa marafiki zake wanawapa waume zao na hawajaharibikiwa? kwanini namimi nisimpe? msimamo wangu ulibaki pale pale,gafla alishuka kitandani na kuchukuwa mkanda wa suruali yake, akaanza kunipiga, niliumia sana, badae niliishiwa nguvu kabisa nikaanguka, alinigeuza na kuniingilia kinyume na maumbile, niliumia sana, nililia sana, na kulipokucha akaniambia taratibu tu utazowea, na kama ukikubali mimi nitakupa kila unachotaka, akaondoka
nililia sana, lakini kitendo kile niliona cha aibu sana kuwashirikisha watu, nikaona nitamdhalilisha mume wangu, niliamua kukaa kimya, ila mwili ulima sana nikatumia dawa za maumivu, aliporudi jioni akataka tena ili nizowee, nilikataa nikamwambia basi niache, nipe taraka yangu niondoke, alichokifanya akanipokonya mtaji wa biashara niliyokuwa nafanya (nina duka la nguo za kike) akachukuwa nguo zote dukani ambazo hadi leo sijui zilipo, akaniambia sikupi taraka, ukitaka uishi kwa amani nipe ninachokitaka, nililia sana, niliamua kumwacha na kuendela na msimamo wangu,
kuna siku niliumwa sana usiku tumbo, akanipeleka hospitali, waliponipima waliniambia nina uvimbe kwenye kizazi inabidi operation, basi tuliporudi nyumbani nikamwambia anipe pesa akasema utakufa, ukitaka pesa yangu nipe ninachokitaka kwanza, nilimgomea, basi tukawa tunaishi hivyo hivyo, hakuna tunachoshirikiana nae, nikipika anasusa kula, nguo anapeleka kwa dobi afue, apasi, kitandani hata shuka alibadilisha kila mtu na shuka lake, nilimsihi anipe taraka niondoke, akakataa, akasema ole wako uvujishe siri hii, nilikaa kwa mwezi tena, kurudi hospitali daktar akasema uvimbe unazidi kukua na maumivu yanaendelea kwa kasi, niliporudi nilimsihi sana akakataaa, niliamua kurudi kwetu, mama alifariki, nipo na baba tu, na baba hana uwezo wa kulipia operation hiyo, kesho yake mume wangu akanifata kwa baba na kutaka nirudi, hadi hapo baba hakua akijuwa lolote, nilirudi kwa mume wangu, lakini hali ikabaki pale pale, kuna siku usiku alinikandamiza kwa nguvu na kuniingilia tena, niliumia na kulia sana, kesho yake akanipa hela ya upasuaji, Mungu alinisaidia nikapona haraka, niliporudi nyumbani hali ni ile ile, ananiuliza hadi leo hujazowea tu? nikamwambia sahau huo uchafu, na kama nitarudia tena nitakuwa kichaa, basi toka siku ile hadi sasa sijui cha kufanya, nawaza nimwambie baba yangu? baba ni mgonjwa mgonjwa maana toka mama afariki mwaka juzi hali ya baba imekuwa si nzuri nahisi na umri nao, naogopa nikimstua anaweza hata kupoteza maisha, kwao amenipiga marufuku kusema. niliwahi kumuita rafiki yake kumuomba aongee na mwenzie, nilishangaa yule baba nae akanilaum mimi akasema kwanini unamkatili mwenzio hivi? mimi mwenyewe mke wangu anafanya hivyo? na tuna raha kabisa, unakosea sana, alipotoka pale akaenda kwa mume wangu kumwambia, jamani nilipigwa siku hiyo kama mwizi, na mapenzi yangu kwake yamepungua sana, talaka hataki kutoa, na hataki niondoke
Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu, naona ninakoelekea ni kuwa mwehu kabisa, sina furaha wala amani kwenye ndoa yangu, naamini nitashauriwa vizuri na ushauri huo nitaufanyia kazi,
asanteni sana
WASILIANA NA DR FADUMI kupitia Barua Pepe: (spiritualsolutionboxstopcentre@hotmail.com)
ReplyDeleteWhatsapp: +1 (405) 829‑4504
Hamjambo marafiki, niko hapa ili kusema ushuhuda wa kustaajabisha na wa kustaajabisha kuhusu mtumaji mahiri aliyenisaidia. Kumrudisha Mpenzi wangu ndio sikutarajia na sikuwahi kufikiria. Mimi na Mpenzi wangu tumeoana kwa miaka tisa na tunaishi kwa furaha lakini ghafla alibadilika kabisa na kuniacha na sikujua kinachoendelea, nilijaribu kumuuliza lakini alikataa kuniambia nini. tatizo lilikuwa, na kadiri muda ulivyozidi kwenda akatafuta talaka. Nilikuwa na wasiwasi na kuchanganyikiwa, na nilijitahidi kumrudisha lakini haikuwa rahisi, nilidhani matumaini yote yamepotea, siku moja nilipokuwa nikitafuta kwenye mtandao, niliona mtu akishiriki ushuhuda jinsi mtangazaji mahiri anayeitwa Dr Sunny ambaye alimsaidia kumrudisha EX WAKE. Sijawahi kuamini katika uchawi katika maisha yangu yote au uchawi kwa sababu sikuwahi kufikiria kuwa utafanya kazi lakini nilijaribu kumpa mtu huyu nafasi na kwa mshangao mkubwa, aliroga ili kumrudisha Mpenzi wangu, Mara moja akatupa uchawi. aliniambia kuwa kabla ya JUA KUTUA, EX wangu atakuja Kurudi nyumbani. kweli kabla ya jioni hiyo alirudi na kuomba msamaha na kuwaambia watoto amewakumbuka. hii imenifanya nimwamini DR SUNNY, leo tumerudi pamoja katika Nyumba yetu nzuri na watoto. Asante Dr Sunny Tumefurahi pamoja tena na natumia fursa hii kumwambia mtu yeyote anayepitia hali kama hiyo au kama unahitaji Tiba kuwasiliana naye kwa
WASILIANA NA DR Sunny : Barua pepe: (spiritualsolutionboxstopcentre@hotmail.com)
Whatsapp: +1 (405) 829‑4504
WhatsApp:+234 916 2183 225
Programu ya mawimbi : + 1 (405) 829‑4504
Programu ya Zangi: 10-0704-4693