Mwanaume rijali ni yupi?

Related image

Mwanaume rijali au kwa maana  mwanaume kamili jua haya kama huna hata moja jihisi. Huwa anamaamuzi hata kama hana hela akiamua jambo kaamua.Huwa hujiamini anajiamini mf. Akisema tumeachana au njoo mida fulani hujaja kamaliza au akisema tumeachana hujamuuliza nakuonyesha unajali anakuwa ndio basi tena hadi mrudiane kazi.

Mwanaume rijali ni yule haogopi mtu mf.umemkosea mke wake au watoto hata kama wewe ni mwanajeshi anakuja anakuuliza kwanini umefanya hili na huakikisha katatua jambo.Sio tuachane na hayo tuendelee na maisha yetu.

Kupigana sio kuzuri mwanaume rijali haogopi mtu anaenda kuface jambo na linakwisha. 

Mwanaume rijali ni yule anayepigania familia yake iwe na amani afya upendo na pia yenye maendeleo hupigania hili na lile familia yake iwe na maendeleo. 

Mwanaume rijali humkuti muda wakazi anacheka vijiweni anakunywa pombe ovyo au anawinda watu anawaibia au yupo anacheza bao na huku ukute hajaoa na pia hana muelekeo wowote huwa hayupogi hivyo.

Mwanaume rijali ni yule ambaye hataki kuwa peke yake asilimia kubwa wao hupendelea familia na kuijali na pia huitafutia na kuhakikisha wanaishi inavyotakiwa. 

Mwanaume rijali ni yule hupendelea kupambania kwa hali na mali awe na maisha mazuri yenye kueleweka.

Mwanaume rijali anajitambua anaheshimu wanawake na hupenda kupenda wanawake zake meaning mama yake mke wake hata dada zake huwa yeye hapendi uonevu.

Mwanaume rijali sio mlipizaji ni mtatuzi wa vitu.Hujali kila mtu anayemzunguka.Hujipenda hapendi shida.Hutoka sehemu yenye kero ikiwa imezidi.Haoi mke mwenye matatizo huoa mwanamke anayejitambua na kumtambua.

Mwanaume rijali ni yule anayependa kujaliwa kupendwa nakuaminiwa na jamii inayomzunguka masaa yake yote huwa yuko anajitafutia na kama anamuda unamkuta anakaa nyumbani au amelala home hapendi kuzurura. 

Humkuti akipigana hata siku moja na watu mtaani humsiki akipiga makelele ovyo mtaani yeye huka na kuumiza kichwa atafanya nini awin maisha yake atatokaje upande mmoja kwenda mwingine unamkuta akihangaika vitu vyake vipige hatua mara nyingi marafiki zake ni wakina mushi shirima na wengine.

No comments:

Powered by Blogger.