Mrejesho wa dawa ya kuchelewa kufika kileleni
Nashukuru kwa mwanaJF mmoja ambaye baada ya kusoma uzi wangu alinihakikishia kuwa yeye atanipa dawa ambayo ingemaliza tatizo langu, na alisisitiza kuwa yeye hafanyi biashara hivyo aliniahidi kunipa hiyo dawa bure kabisa, kweli tuliendelea kuwasiliana na siku moja alinitumia hiyo dawa kwa njia ya basi tena kwa gharama yake, nikaipata hiyo dawa na akanipa maelekezo namna ya kuitumia.
Nilitumia hiyo dawa mara mbili tu yaani asubuhi na jioni. Baada ya hapo nilianza kuona mabadiliko katika performance, nilikuwa mwanzo namaliza ndani ya dakika mbili nikaanza kufikisha dakika 10, kadri muda ulivyozidi kwenda dakika zikawa zinaongezeka, hadi sasa ni balaaa ! yaani nikipanda sishuki! zamani nilikuwa nafika mwisho huku namwacha wife akilalamika lakini saizi yeye ndo ananiacha nikilalamika !
bassa mussa 0765203999
No comments: