JINSI YA KUMFUNGA MUME/ MKE ASICHEPUKE
Ndoa nyingi zimekuwa zenye hali ya mashaka kutokana na kupungua wa uaminifu baina ya wana ndoa husika, kiasi kwamba kila mmoja amekuwa mwenye mashaka na mwenzake na hatimaye ndoa kuvunjika
Leo nitazungumza nanyi juu ya rahisi kabisa ya kuhakikisha kuwa, mumeo au mkeo atalazimika(hata kama sio hiari yake) kuwa mwaminifu kwenye ndoa yenu kwa kubaki nawe tu hadi utakapoamua iwe vinginevyo.
Njia nitakayoieleza hapa ni ya kufunga kile kitendea kazi(kwa mchepuko) cha mume au mke anapokutana na mchepuko chumbani ili wafanye yale mambo yetu ambapo hivyo vitendea kazi huonekana vimepotea au havina uwezo.
Lakini sharti kubwa la njii hii ya kudhibiti michepuko ni mfanyaji(mnuiaji) lazima afanye kwa mkewe au mumewe wa ndoa kabisa, vinginevyo inaweza kumuathiri mwenyewe endapo ataifanya kwa hawara(Boyfriend/ girlfriend).
Ikiwa unampenda sana mwenzi wako, basi ni vema ukamshawishi muoane kwanza kisha ndio ufanye hii njia ya kumdhibiti ili awe wako wa peke yako katika maisha yenu ya ndoa.
Mahitaji yake
Ili kuiweka kwenye mikono salama ndoa yako kwa njia hii, unatakiwa kuwa na vifaa kadhaa kwa ajili ya utekelezaji wa kinga hiyo ya uhakika kwa michepuko ya mwenzi wako.
0765203999
No comments: