MTUNZI:Bassa mussa
phn.0765203999
Jina langu naitwaJohn O'conner naishi ktk mji wa chicagosoon baada ya kumaliza chuo nimejiunga
na kampun ya John and Bertty tawi la
Chicago nikafanikiwa kupanda cheo hadi
kua meneja mauzo wakati nipo hpo
nilikutana na msichana mrembo anaitwa
Tatiana alikua ni mrefu mweny umbo la
kuvutia lips zake mda wote zimeloa
akitabasam hata kama una hasira ...na ww
utatabasam naam huyo ndio Tatiano
msichana aliyetokea jimbo la Texas wakati
tupo ktk majukumu ya kazi cku zote
tulipenda kufanya kazi pamoja kwa
kushirikiana hali iliyoleta ukaribu mkubwa
kati kadri cku zilivyozid kwenda nilijikuta
naanza kumpenda sana Tatiana ambaye
ofisini watu wengi tulipenda kumuita
Tayna kwa upole, ucheshi na upendo wake
nilijitahid kuficha hisia zangu lakin cku
moja nikajikuta nimezidiwa na kumuomba
kama itawezekana twende tukapate
kahawa baada ya kazi haikua rahisi ila
nilikua jasir kusema bahata nzur alikubali
kwahyo tukapanga tukutane kweny
mgahawa uliotulia ili tuweze kubadilishana
mawili matatu cku hyo niliona masaa
yanachelewa kuliko kawaida shauku na
hamu ilikua 2 kutoka kutoka na Tayna ili
nipate fursa ya kudodosa nijue kiundani
kuhusu maisha yake basi jioni iliwadia
nikaingia ndani kuvaa shati zuri safi na la
kuvutia huku nikijiangalia kila mara ili
nione kama naweza kumvutia Taina
nillivyomaliza kuvaa huku najiashtukia
nikawasha gari hadi mtaa wa Michaelsen
anapoishi Tayna wakati nafika alikua tayar
kashacmaa nje akinisubir akiwa kavalia
gauni nyekundu inayong'aa
iliyomwenyesha umbo lake kwa uwazi zaid
mate yalinidondoka mithili ya teja
aliyebwia unga kwa kushangaa jinc Tayna
alivyoumbika nilikosa la kusema hadi
ghafla nikasikia sauti nyololo ikiniita
Johnnnn ........... .....Johnnn sauti hii nyolol
ilinishtua kama mtu niliyekua usingizini
nikawa sina la kusema kwan dhahili
nilionekana kuvutiwa na jinsi alivyovaa
ckusema meng zaid ya neno moja 2 lilitoka
umependeza nikamwambia huku najisuta
akajibu kwa sauti nzur zaid ya niliyoickia
ahsante, ahsante huku akisema "mbna leo
nimevaa kawaida sana '' nikajitahid
kubalaguza maneno nitafte neno zur
nikamwambia sio siri leo umependeza
kupita kiasi ghafla akanibusu shavuni na
kuniambia ahsante ilikua kama ndoto
nikajishka mara mbilimbil pale mdomo
wake ulipo2a nikiwa siamini kilichotokea
ilikua kama mwili wangu umetiwa ganzi.
niliweza kusema neno moja tu karibu naye
akatabasam nikafungua mlango wa gari ili
aweze kuingia tuanze safar. nilipokua
naendesha gari macho yngu hayakutoka
miguuni mwake ambapo kulikua na
mpasuo uliyoonyesha mapaja yake
yanayovutia hayana hata doa huku
nikimeza mate najitahidi asigundue
kinachotokea. ghafla ukimya ulikatishwa
pale Tayna alipouliza unapendelea music
wa aina gani bila kujibalaguza nikjabu
slow jamz akatabasam na kuniambia hata
mm pia napenda kusikiliza slow jamz zaid
basi hadi tunafka mgahawani stor zilikua
juu ya nyimbo mbalimbali ambazo alikua
anazipenda na nilizokua napenda bas
baada ya kuwasir mgahawani
tukaelekezwa meza ya kukaa mana tulikua
tushaweka oda baada ya kukaa tuliletewa
vikombe vya kahawa na tukaendelea na
story nilimuhadithia kuhusu familia yangu
mama , ndugu zangu mapacha na dada
yangu colleen ambae alikua ni rafik yngu
mkubwa nyumbani na matatzo yake
yaliyomfka baada ya kufiwa baada ya
mume wake kufariki then na yey
akaniambia kuhusiana na mateso
aliyopitia ktk uhusiano wake uliopita jinsi
alivyochomwa kweny unyayo na moto na
mpenz wake huku machoz yakimtoka
yakionyesha jinsi gani inamuuma nilijitahd
kumpa moyo na kumpa pole. mwisho wake
alinielewa ikabid nijitahd kubadilisha stor
ili nisiendelee kumuumiza baada ya stor
mbil tatu kidogo alirudi sawa na
tukaendelea kuenjoy mana kulikua na
band inapiga mziki uliotulia tulifurahi sana
kuweza kujuana zaid mana ilitufanya
tujione tuko huru kuongea lolote, mda wa
kuondoka ulifika nikaletewa bill nikalipa
tukainuka ili tuondoke nikawahi mlangon
kama kawaida nikamfungulia mlango thn
tukatoka tukaingia ndani ya gari ili
tuelekee mtaa wa michalseen anapoishi
Tayna safar hii ndani ya gari ilikua ni furah
2 na kutaniana safar ikawa fupi kuliko
nilivyotegemea basi tulipowasili,
akaniambia sio mbaya nikienda kuona
kwake bila ya kuchelewa nilishuka ili asije
kuahirisha tulipanda ngazi hadi ghorofa ya
kwanza tuksimama nje ya lango
akafungua tukaingia ndani akawasha taa
ili tuweza kuona. Kilikua ni chumba kizur
kilicopangiliwa sittn room ikiwa haina vitu
vingi bt inavutia kuitazama akanikalibisha
ktk kiti yy akaomba aende kubadil nguo na
kuniulza ntatumia kinywaj gani
nikamwambia maji yanatosha akanileta
maji na kutokomea chumbani baada ya dk
kadhaa alirud akiwa kavalia gauni jepec
jeupe vazi la kulalia lilifanya mihemko
yangu ipande ghafla kwamza ilikua mda
mrefu tangu nikutane na mwanamke mara
ya mwisho pili ni uzuri aliokua nao nilibaki
nimegwaya nisijue cha kufanya Tayna
akasogea akakaa karbu yangu na
kuniambia kartbu nyumban nikamwambie
ahsant huku nikiibia kumuangalia kwa
machio ya uchu........
PENZI LA DADA (sEHEMU YA 1)
Reviewed by
Bassa
on
7:46 AM
Rating:
5
No comments: