SUZY NIPE TENA.UMRI 18+
MTUNZI NA MWANDISHI-Bassa mussa
Mara ya kwanza nilikutana naye alikuwa ametokea Mlimani City. Nadhani alitoka kununua baadhi ya bidhaa. Alikuwa mrembo sana. Macho yake yalikuwa angavu yalikuwa yakiita kwa matamanio makubwa. Nilimwangalia juu mpaka nikagundua umbo namba nane lililokuwa limegawanyika kama vile kachongwa. Kwakua alivaa suruali maarufu kama skin nikaona mapaja yaliyojazia. Niliachama mdomo wazi nikishangaa uzuri ule na ghafla akapita karibu yangu.
Marashi yaliyoifanya pua yangu kuburudika. Nikibaki najiuliza huyu ni malaika au binadamu. Alipopita nikageuza shingo na kuanza kumtazama alikokuwa anaelekea. Mungu wangu hilo tetemeko la nyuma sasa roho yangu ikalipuka paah!! Tamaa za mwili zikanijaa nikajikuta namfikiria kama angelikuwa mke wangu. Nikamwangalia mpaka alipoishia kwenye gari na kuondoka zake.
Niligeuka na kuanza kuingia kununua mahitaji na mimi kisha nikarudi nyumbani. Njia nzima nikiwa namuwaza yule mrembo niliyemwona mlimani city. Nilijiapiza lazima nimpate mimi si ndio Kaka Yuu mwenyewe. Nikaendesha gari mpaka nyumbani ambapo nilifika na kuipaki kisha kuingia ndani kupumzika.
Siku iliyofuata niliwahi ofisini kwangu kama kawaida na kuanza kazi. Ilikuwa majira ya saa tatu asubuhi ndipo msaidizi wangu akanipigia simu ya mezani. "Hallow kuna mgeni anahitaji kuonana na wewe""Ni nani huyo mgeni na je ana appointment na mimi? Hapana ila amejitambulisha kwa jina la Suzy! Okey muulize hiyo shida ni ya kikazi au binafsi? Akajibu ni ya kikazi. Haya mwambie aingie.
Baada ya dakika tatu mlango ukagongwa. Ingia nikajibu, Mara mapigo ya moyo yakasimama pale nilipoona yule mrembo wa jana kaja ofisini. Su....Suu... Suzy... Eeee ka.... Kaa... Karibu. Hee ahsante umejuaje jina langu? Ameniambia secretary Oooh okey akajibu sawa kisha akakaa. Mmmh vipi nikusaidie nini mrembo? Nilimuuliza huku jasho likianza kunitoka mwilini kwa kukosa kujiamini. Aaah well mimi ni Director wa kampuni fulani akatoa kitambulisho.
Kuna biashara tumeambiwa kampuni yenu inaweza kutusaidia. Tukaongea mengi sana mpaka akanipa busness card kisha akaondoka. Nilimpa mkono nikabaki nauangalia mkono wangu. Jioni nilirudi nyumbani na kulala asubuhi nikarudi ofisini na mchana nikampigia simu Suzy akapokea kisha nikamwomba nimtoe Lunch. Bila ubishi alikubali na tukaenda kula huko ndiko mambo yalianzi na kufungua ukurasa wetu wa mapenzi.
Nilimweleza ukweli wa moyo wangu na hakusita kunikabidhi moyo wake na hivyo ndivyo upendo ukaanza. Kutembeleana ilikuwa jadi yetu nakumbuka siku ya kwanza kunikabidhi mwili wake Suzy ilikuwa siku ya furaha sana kwangu. Kwanza siku hiyo Suzy hakupanga kunipa penzi ila kutokana na hali iliyokuwapo ililazimika.
Nilikuwa nimemtembelea nyumbani kwake. Suzy alikuwa katoka kuoga na khanga moja iliyokuwa imelowanishwa na maji. Kwakuwa ndani alikuwa hajavaa kitu niliona umbile lake zuri na lenye kuvutia, chuchu zake zilikuwa zimesimama kama miba. Rangi yake ya ngozi ilikuwa iking'ara. Mate ya tamaa ya mapenzi yakanitawala nikaijikuta namwita Su.... Suu.. Suzy baby, Eee yuu nikamfuata na kumshika kiunoni na kumubusu mara kadhaa kisha taratibu naye akaanza kulegea.
Huku hali yangu mimi ilikuwa tayari siyo nzuri nilikuwa tayari nakaribia kuchana chupi. Nilimla denda kwa mda taratibu akaanza kuachia khanga na kuitelekeza kwenda chini. Nilishadhamiria kupata tunda siku ile. Nikawa nampapasa kuanzia juu mpaka maeneo ya chini. Alionyesha kuzidiwa taratibu nikashika chuchuchu zake na kuanza kuzipapasa hapa na pale.
Alikuwa akishtuka na kuguna huku akitoa sauti za ajabu. Nilinyonya zile chuchu kwa ufundi kisha nikambeba mpaka kwenye sofa ya pale sebuleni na kumlaza huku nikizidi kumramba kwa juhudi chuchu zake. Alilia kwa mahaba. Nikaamua kujitosa na kuanza kumnyonya sehemu zake za siri alikuwa akiruka na kurusha miguu juu. Alitaja jina langu mara nyingi na kulia huku akisema b aby ingiza baby, Nina hamu baby. Kusikia hivyo kijana nikaongeza ujuzi.
Nakainua mikono yangu mmoja kwenye chuchu mmoja sehemu za siri huku njkimkuna sehemu ya kisimi chake. Alilia mpaka nikahisi majirani zake wanasikia. Sikujali hilo kwani lengo langu ilikuwa kumaliza nilichopanga. Nikazidi kumkuna kwa kidole kimoja na hapo ndipo nilitumia mda mwingi baada ya dakika chache nikasikia akilia kimahaba baby nakojoa, baby nakojoa. Sauti ilikuwa ikitokea puani huku ikiwa imeambatana na kilio cha kimahaba.
Nikajua hapo sasa ngoja nimuweke sawa nikatumia mikono vizuri na kuzidisha kila aina ya manjonjo. Mara nikamwona analegeza miguu na hatimaye nikamwona anaachia kitu. Nilimwacha alipomaliza nikazidi kumwandaa kwa manjonjo mpaka akarudi kwenye hali ya kutaka penzi tena na hapo sasa nikaona huo ndio wakati wangu wa kumpa haki yake halali na bila kufanya kosa nikainuka na kumuweka vizuri Suzy kisha nikatoa chupi ma kumsogelea kwa karibu. Ile nataka kuingiza ghafla mlango ukagongwa na tulikuwa hatujafunga. Mara tukasikia________________________
0765203999
No comments: