Dawa ya kupunguza maumivu ya mapenzi

Image result for HII NDIO DAWA YA MAPENZI site:www.jamiiforums.com

Najua wengi wapo katika mahusiano lakini anajua fika kabisa hana mpango wa kuoa au kuolewa na huyo mpenzi wake kabisa. Ila unajikuta unashindwa kuzuia wivu wa kimapenzi kwa mtu wako.

Haina haja kuumia kihiivo, dawa ni kuwa nao zaidi ya mmoja hii inapunguza kukaa na kumuwaza mtu mmoja mda mwingi, badala yake utawachukulia poa wote na kuconcetrate kwenye mishe zako nyingine. Ila kama kama uliye naye ndo present na future yako hauna budi kuzikabili changamoto.

No comments:

Powered by Blogger.