Fanya yooote kwa mpenzi wako lakini ukishindwa kutumia kitanda vizuri hesabu maumivu
#Mwanamke fanya kila kitu lakini kama humridhishi mwanaume wako hesabu maumivu.
#Wamama/wadada watu wazima tu lakini wapo na vibenten kwa lengo la kusuguliwa waridhike then maisha yanasonga.
#Wababa watu wazima unakuta wapo na vibinti lengo ni kujiridhisha ili maisha yaendelee.
#Mke/Mume asiporidhishwa vizuri, akatoa kiu yake yote anakua na mihasira yasiyo na kichwa wala miguu na hapo ndo unakuta mambo mengine hayaendi.
#Mwanaume ukitaka upate siri zote za mtaani, mfikishe mkeo kileleni, anakua mwepesiiii kiasi kwamba anaanza kufunguka kila kitu. Kama alitongozwa na jirani,boda n.k atawataja woteee.
#Mwanamke ukitaka mume ahudumie bila stress usiwe gogo kitandani, fanya maujanja yote umkojoze aridhike. Mwanaume akiridhika vizuri, wanawake wengine wanatakiwa wajipange kumuiba, mana akiwaza shoo za mpenzi wake haoni la ziada kwa wanawake wengine.
#Hizi mambo za kujifanya wewe ostadhi sijui mchungaji au sijui mlokole inapofika muda wa tendo, shughulika kumridhisha mkeo/mumeo. Achana na style zile zile za kila siku. Kama ni kulamba koni lamba, kama ni kushuka chumvini chuka, kama ni katerero piga. Ila msije mkakonkiana tu
#Achana na ubrazameni au usistaduu wako huko nje... ukiwa kitandani, hakikisha unatumia maujanja yako yote hata kwa ku google umridhishe mwenzio.
# Hata kama pesa huna lakini ukiweza kutumia kitanda vizuri basi mpenzi wako atakuona wewe ni bilionea tu
#Mapenzi hayana cheo, kama wewe ni CEO ukifika nyumbani acha U CEO wako shughulika na mkeo/mumeo aridhike.
Nna hakika wapenzi wakiweza kuridhishana kitandani basi haya magonjwa sijui ukimwi,presha,gono n.k tutayasikia tu nchi za watu
No comments: