Je, kisimi cha mwanamke kikisuguliwa kwa vidole atafikia mshindo? Na kuna madhara yoyote ?

Image result for fahamu jinsi ya kuchezea kinembe

Ni kweli kwamba kuna sehemu za mwili ambazo zikiguswa huleta msisimko mwilini. Kisimi (au kinembe) ni moja ya sehemu hizo kwa mwanamke, kwa sababu pale kuna mkusanyiko mkubwa wa mishipa ya fahamu. Kusugua kisimi ni njia salama ya kumaliza ashiki ya kutaka kujamii ana. Hakuna madhara yoyote ya kiafya wala kiakili kama kisimi kinasuguliwa

No comments:

Powered by Blogger.