Je ni madhara gani anaweza kupata mtoto wakike akianza mapenzi .

Image result for athari ya kufanya mapenzi umli mdogo

Siku hizi kunakuwa na tabia ya watoto wenye umri mdogo kuanza kufanya mapenzi wakiwa na umri mdogo sana.Hili tatizo limekuwa likichangiwa na wazazi kuwa wanalala nao kwenye kitanda kimoja na kuona wakifanya mapenzi.Jingine ni mitandao ya jamii na Tamtilia mbali mbali.Swali langu je mtoto wa kike akianza mahusiano ya mapenzi kabla ya kuvunja ungo atapata madhara gani.

No comments:

Powered by Blogger.