Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Image result for raha ya kuzama chumvini

Hhuko unakoita Chumvini ni sehemu yenye wadudu wengi sana kuanzia fungus, Herpes, bacteria n.k hivyo iwapo una hali mbaya mdomoni unaweza kuwa umepata fungus au vimelea wengine kutoka huko na kwa njia ya fecal oral route namaanisha baada ya kuingia chumvini ukashindwa kujisafisha vizuri mikono na mwili wako unaweza kupeleka maambukizi katika kinywa,hata hivyo nahitaji maelezo zaidi kama kuna vidonda kinywani au utando wowote kwa sas unaweza kuwa unatumia Mouth wash Solution ili kuondoa haufu mbaya kama kuna utando mweupe unaweza kutumia Nystatin cream 1mls mara nne kwa siku( in case ni fungus) otherwise nipe maelezo zaidi.

Pili tatizo la kutotumia Kondomu baada ya goli la pili is more psychological than physical hivyo, Jifunze kulinganisha thamani ya maisha yako na raha ya muda mfupi unayoipata huku ukiwa na uwezekanifu wa kupata maambukizi.

Nakushauri pia uwe na mpenzi mmoja mwaminifu na mpime virusi ili hata kama usipotumia kondomu uwe salama.

Mwisho Chumvini si mahali pa salama kabisana hapakuumbwa kwa kazi hiyo.

Jitahidi kutumia viunga vya mwili kadri Mungu anavyotaka vitumie

No comments:

Powered by Blogger.