Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Image result for kwa wanawake tu site:www.jamiiforums.com

Mi napenda tujadiliane sisi kwa sisi wanawake ivi ni kwa nini wanaume zetu hawatulii(dushelele zao hazitulii kwenye suruali) na mke au mwanamke mmoja?

Yaani utafiti unaonyesha hata ungeyafanya mazuri yote nje atatoka tu awe mlokole au sijui mswahilina.

Je dawa yao ni ipi? maana tukichekacheka ndo maukimwi hayataisha.

Tupeane mbinu pengine kuna mtu ana mbinu na amemdhibiti wa kwake ili nasi tuige.

Asanteni.

No comments:

Powered by Blogger.