Mpenzi wangu hataki kabisa kutumia kinga wakati wa kufanya mapenzi
Mimi nilikuwa na mpenzi ambaye tumedumu kwa miez 6 bila kugegedana nimekua nae faragha zaidi ya mara 6 tunaandaana vyema kabla ya mechi, ila pale mechi inapotaka kuanza huwa nachukua soksi yangu teyari kwa mchezo.
Lakini mwenza wangu hupinga kabisa hataki soksi tena na ugomvi huanzia hapo tena pichu na nguo zote huvaliwa hapo na ndo mwsho wa mchezo, japo kuwa ni mzuri na yuko na shepu nzuri ila siko tayari kucheza peku.
Je, nifanyaje wadau mana najua hata tukipima V.V.U ila dunia ya leo michepuko mingi, wangapi anakutana nao na anakataa kuvaa. Ipi sababu ya kukataa soksi? Je zina madhara? Madhara hayo ni yapi?
Pia kwanini nikavaa condom wazungu wanachelewa sana kuja? Na hazina madhara kwa wanaume pia?
Nawasilisha hoja

No comments: