Mpenzi wangu hataki kunipa tunda,nifanyeje jamani?



Image result for MPENZI WANGU HAPENDI KUUINGIZA YOTEE

nina rafaiki yangu ambaye bado hatukufikia hatua ya uchumba,kwa mara ya kwanza baada ya kunikubalia ombi langu,alinisumbua sana kunipa tunda,mpaka tukatana kuachana ndio akakubali kunipa,na baada ya kunipa alisema alikuwa anaogopa kwa sababu hakuwahi kumegwa, na sasa nimeshammega mara kadhaa, lakini hivi juzi tu nimemkumbushia kuhusu kula tunda ameniambia tusiwe tunafanya hivyo tena tusubiri mpaka tufunge ndoa,mana anasema tunafanya dhambi, nami nilikubali lakini kwa sasa naona kukosa kitu muhimu kwani nammiss sana kiasi cha kushindwa kuvumilia,
sasa tatizo linakuja suala la ndoa bado litachukua muda kama mwaka na zaidi hivi,ina mana muda wote huo nisile tunda langu? nafikiria kumsaliti sasa kwani siwezi kukaa muda wote huo,nifanyeje jamani?

No comments:

Powered by Blogger.