Nina tatizo la uume kusinyaa baada ya bao moja
Lakini ghafla tu uume unasimama mara moja tu tena kwa tabu. Na nikiwa nafanya mapenzi, bao moja tu linatoka na uume unaweza sinyaa hata kabla sijaitoa au bao kutoka.
Hii inatokana na nini kwa wataalamu? Na nakuwa sina mawazo ila kwa sasa mawazo ndio yanazidi
No comments: