UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/ SEHEMU ZA SIRI
Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu mwanamke na uke,kwa maana ya
UKE ni kiungo cha uzazi wa mwanamke, ambamo ndani yake kuna Lactobacillus bacteria na fangasi wazuri abao wako katika kiwango kinacho lingana/a balanced mix. Bacteria hawa na fangasi hizi husaidia sana kuulinda uke na maradhi mbalimbali endapo uwiano wake hauta bughuziwa. LActobacillus bakteria hutoa acid ambazo huzuia fangasi au kuwa wengi zaidi.
UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI ni ugonjwa anaoupata mwanamke endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo ukeni au kama pH ya ukeni imezidi kiwango cha kawaida kinachopaswa(pH 3.5-4.5 ndio kiwango kizuri kiafya).
FANGASI ZA UKENI MARA NYINGI HUSABABISHWA NA FANGASI WAITWAO CANDIDA ALBICANS, LAKINI WAKATI MWINGINE NI AINA NYINGINE ZA FANGASI NA HIZI NI VIGUMU SANA KUTIBIKA
VITU VINAVYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI
kunasababu nyingi sana baadhi ya hizo ni;
1.MATATIZO YA HOMONI(HOMONI ZA KUBADILIKA/KUWANYINGI SANA AU KUSHUKA SANA) hii inaweza kusahabishwa na; ukomo wa hedhi,ujauzito, (MP)kuwa katika siku za mwezi, matumizi ya dawa za kuongeza kiwango cha hormon za kike
2. MATUMIZI YA ANTIBIOTICS hizi huuwa bacteria wazuri na kubadiri ph ya uke
3.KUFANYA MAPENZI NA MTU ALIYE NA UGONJWA WA FANGASI ZA SEHEMU ZA SIRI BILA KINGA
4.KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI hii inaweza kusababishwa na magonjwa mbalimbali kama UKIMWI, KISUKARI, UPUNGUFU WA MADINI,VITAMINI NA VIRUTUBISHI MBALIMBALI VYA MWILI.
5.ULAJI MBAYA HASA KUPENDELEA VYAKULA VYENYE SUKARI KWA WINGI (SUKARI NI CHAKULA KWA FANGAS HIVYO HUONGEZEKA).
6.KUKOSA USINGIZI NA MSONGO WA MAWAZO .
DALILI ZINAZOONESHA KUWA UNAUGONJWA WA FANGAS ZA UKENI
Kuna dalili nyingi sana kama zifuatavyo;
~MUWASHO SEHEMU ZA SIRI
~VIPELE VIDOGO VIDOGO UKENI
~KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI YA KIJIVU UKENI WENYE HARUFU MBAYA
~VIDONDA AU MICHUBUKO UKENI
~KUYOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI
~KUPATWA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA
~KUVIMBA NA KUWA MWEKUNDU KATIKA MDOMO WA NJE WA UKE
~KUWAKA MOTO NDANI NA NJE YA UKE
KINGA YA FANGASI ZA KIKE
1.EPUKA KUSAFISHA UKE KWA KUTUMIA VITU VYENYE KEMIKALI KAMA SABUNI
2.EPUKA KUTUMIA MARASHI YENYE CHEMIKALI UKENI NA KUONGIZA VITU MBÀLIMBALI UKENI KAMA VIDOLE, ASALI, MGAGANI N.K
3.EPUKA KUTAWADHA KUTOKEA NYUMA KWENDA MBELE BAADA YA KUJISAIDIA HAJA KUBWA AU NDOGO
4.MTIBU MPENZI WAKO ALIE NA UGONJWA WA FANGASI
5.SAFISHA UKE NA KUJIFUTA KWA KITAMBAA SAFI ILIKUUACHA MKAVU
6.HAKIKISHA KINGA YA MWILI WAKO IKO JUU
7.VAA CHUPI ZITENGENEZAVYO KWA VITU HARISI KAMA PAMBA NA HARIRI
8.EPUKA ULAJI MBAYA WA CHAKULA HASA PUNGUZA VYAKULA VYENYE KUKUPAYIA SUKARI KWA WINGI MWILINI
9.TUMIA PADS ZISIZO NA KEMIKALI NA ZENYE VITU VYA KUKULINDA NA MAAMBUKIZI,KUKUFANYA UWE MKAVU NA HURU KAMA BF SUMA SANITARY PADS
MATIBABU
UGONJWA HUU HUTIBIWA KWA VITU VIFUATAVYO
UGONJWA HUU HUTIBIWA KWA VITU VIFUATAVYO
~VIDONGE VYA KUMEZA-ITAKUTIBU FANGAS,U.T.I SUGU ILE AMBAYO BAKTERIA WAKE WA U.T.I WAPO KWENYE FIGO(REFINED YUNZHI). HII YUNZHI PIA ITASAIDIA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA KUTOKUPATA HEDHI AU MATATIZO YOYOTE YA HEDHI,MWANAMKE AMBAYE HASHIKI UJAUZITO,CANCER,KUONGEZA KINGA ZA MWILI, WANAWAKE WENYE MAUVIMBE(FIBROS) YAANI HII KIBOKO. = BEI KWA KOPO 80,000
~MAJI YA KUOSHEA UKE-ITAKUTIBU FANGAS NA U.T.I KWENYE KIBOFU CHA MKOJO(FEMICARE) . INASAIDIA KUWEKA UKE SALAMA,INAONDOA UCHAFU WOTE ULIOPO KWENYE MIRIJA YA UZAZI,INASAIDIA UKE KUWA KATIKA HALI YAKE YA MWANZO,INAONDOA FANGAS,MIWASHO NK= BEI KWA KOPO 45,000
~PEDI ZA BF SUMA=INASAIDIA FANGAS,INANYONYA KIMIMINIKA KINGI,NI NZURI KWA BAKTERIA WAZURI KUISHI,INANYONYA UCHAFU WOTE WA HEDHI,INAZIBUA MIRIJA YA UZAZI NK= BEI 10,000
N:B NI MUHIMU KUTUMIA DAWA ZA ASILI ZA VIRUTUBISHO NA KUACHA ZENYE KEMIKALI WAKATI WA KUTIBU FANGASI ZA UKENI.
KWA MAELEZO ZAIDI,
MAONI NA USHAURI
MATIBABU YA FANGASI SUGU NA ZA KAWAIDA KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI ZILIZO KATIKA MFUMO WA KISASA KAMA VIDONGE,NA MAJI YA KUJISAFISHIA USISITE KUPIGA/TEXT/WHATSAP 0765203999
MAONI NA USHAURI
MATIBABU YA FANGASI SUGU NA ZA KAWAIDA KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI ZILIZO KATIKA MFUMO WA KISASA KAMA VIDONGE,NA MAJI YA KUJISAFISHIA USISITE KUPIGA/TEXT/WHATSAP 0765203999
No comments: