SABABU ZA UUME KUSINYAA/ KUWA LEGE LEGE, KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUSHINDWA KURUDIA RAUNDI YA PILI HARAKA.
Haya ni matatizo yanayotesa wanaume wengi kwenye suala la nguvu za kiume.
Kuwahi kufika kileleni ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake.
Wengi walio na tatizo hili utakuta uume wao unaposimama unakuwa legelege na wakati unapolala husinyaa na kurudi ndani
Tatizo hili limekua likiwapata wanaume wengi na kujisikia aibu mbele za wenzi wao pale wanaposhindwa kuendelea kabisa baada ya hali hii kutokea.
Kimsingi mwanaume anatakiwa achukue dakika nne mpaka nane kabla ya kutoa mbegu za kwanza lakini watafiti wanasema tatizo hili hugundukiwa mtu anapotoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja.
Tatizo hili huweza kutokea mara tu baada ya kubalehe, {primary pre mature ejaculation} mda mrefu baada ya kubalehe{secondary PE} au kutokana na aina ya mwanamke uliompata. {situational PE}
CHANZO NI NINI?
Tatizo hili halina sababu za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti zikakakubalika ila wanasayansi wanaamini sababu zifuatazo zinaweza kua chanzo kikuu cha tatizo hilo.
1) Kupiga punyeto au kujichua ; mara nyingi watu wanaopiga punyeto hua wanafanya haraka kwa kujificha ili wasikutwe na mtu. tabia ile ya kulazimisha mbegu zitoke
haraka huweza kuleta tatizo hili.
2) Kukaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa; kukaa mda mrefu sana bila kushiriki tendo la ndoa husababisha mkusanyiko mkubwa wa mbegu za kiume ambazo
zinaleta msisimko mkubwa na ukichelewa sana kushiriki tendo la ndoa zitatoka kwenye ndoto nyevu. kawaida mwanaume anatakiwa ashiriki tendo angalau mara nne kwa wiki.
3) Kuwa na wasiwasi wakati wa tendo la ndoa ; mtu akiwa na historia ya kupata hali hii kabla, hua hajiamini na kua na wasiwasi kwamba litatokea tena na matokeo yake hulipata kweli.
4) Madhara ya dawa zinazofanya kazi kwenye mishipa ya fahamu; baadhi ya dawa za usingizi, mawazo na zingine zinazofanya kazi kwenye mishipa ya fahamu huleta tatizo
hili mfano amitriptyline.
5) Kurithi; baadhi ya koo au familia fulani hurithi vimelea vya kua na ugonjwa huu kwa vizazi mbalimbali vya familia husika.
6) Magonjwa ya mfumo wa uzazi wa mwanaume mfano prostatitis.
KUTAMBUA TATIZO
Mwanaume yeyote ambaye anatoa mbegu chini ya dakika moja au mbili ni muhanga wa hili tatizo na anatakiwa apewe matibabu.
Watu wamekuwa wakimeza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume na madawa mbalimbali ya asili bila mafanikio yoyote, sababu hujaribu kutibu misuli ya uume kwa dawa ili hali misuli dawa yake mazoezi.
MATIBABU YA TATIZO HILI.
TIBA YA MAZOEZI NA KULA MATUNDA KWA MTU MWENYE TATIZO HILI
Tiba ya mazoezi ya misuli ya uume na kula matunda ni tiba bora na ya uhakika kabisa kwa mtu aliye athiriwa na tatizo hili. Tiba hii hufanya mambo yafuatayo:
A) Kuimarisha mishipa na misuli ya uume ulio
legea na hivyo kuurejeshea uwezo wake wa asili
Hutibu tatizo la uume kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto mdogo
C) Humaliza tatizo la kusimama kwa uume
ukiwa legelege
D) Hutibu na kuponya kabisa tatizo la kufika
kieleleni haraka.
E) Huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa hata baada ya raundi ya kwanza.
Kama una tatizo hilo wasiliana nami sasa kwa Whatsap au kawaida kwa namba 0765203999 ili upate kujiunga na tiba hii ya ukweli na uhakika iliyokwisha saidia wengi wenye tatizo hili.
NB: Usikae kimya ndugu, wengine wanapona.
Karibu uondoe stress na aibu hiyo ya kudharirika mbele ya mke/mpenzi wako.
0747630067
No comments: