wanawakee wanaona keloo uume mdogo
Kwanini una kibamia? Unajuaje kama una uume mdogo kuliko kawaida?
Tafiti zinasema kwamba wanaume wengi wanatamani sana kuwa na maumbile makubwa ya uume. Na wanaume wengi wanaamini kwamba wana uume mdogo wakati ukweli na kwamba size waliyonayo ndio inayofaaa.
Makala hii itachambua kwa kina sayansi inayofanya uwe na uume mdogo na kuitwa kibamia pamoja na sababu zinazopelekea uwe na kibamia.
Size Gani ya Uume Ni Sahihi?
Urefu wa uume kikawaida unatakiwa kuwa inch 3.6 mpaka inch 5.3 pale uume ukiwa aumesimama.
Jinsi ya Kupima Uume wako
Kama ulikuwa unatafuta kwa muda mrefu namna gani sahihi ya kupima uume wako, hizi ndio hatua sahihi za kuchukua kufanya vipimo
utahitaji kuwa na tape au rula kufanya kipimo
uume ukiwa umesimama, anza kupima kwenye shina la uume kuelekea mbele.
soma namba inayoonekana kwenye rula mwishoni mwa uume yani kwenye kichwa, hiyo ndio size ya uume wako
Ni kipindi Gani Uume Unakua Na Kuongezeka?
Tafiti zinasema kwamba uume unaongezeka kwa vipindi tofauti katika ukuaji wako. Kikawaida uume unakuwa haraka kuanzia unapozaliwa mpaka unapofikia umri wa mwaka mmoja. Baada ya hapo kuanzia umri wa mwaka mmoja mpaka miaka 11 ukuaji unapungua. Unapofikia umri wa kubalehe wa miaka 11 uume unaanza tena kukua kwa kasi.
Uume Mdogo Kupita Kiasi (micropenis)
Ni tatizo linalojitokeza kwa watoto wadogo wanapozaliwa kwa kuwa na size ndogo sana ya uume kuliko kawaida.Changamoto ya homoni inayoitwa hypogonadism ni chanzo kikubwa cha tatizo hili.
Sababu zingine zinazopelekea kuwa na uume mdogo ni pamoja na
Uuume kufunikwa na ngozi ama govi: Mwanaume atapata changamoto wakati wa tendo la ndoa na wakati wa kukojoa.
Ngozi ya mapumbu kuziba uume: Hii inatokea endapo ngozi ya korodani imejishikiza katika eneo kubwa na uume wako na hivo kuwa mfupi.
Kutopona haraka baada ya kutahiriwa: Mwanaume asipopona vizuri baada ya kutahiriwa anaweza kushindwa kukojoa vizuri endapo ngozi ya juu ya govi iliyokatwa haitapona haraka.
Je nifanye nini Kumridhisha Mpenzi Wangu Kitandani
Matatizo mengi haya yanatokea kwa wanaume wachache sana katika jamii zetu. Japo ni muhimu sana kufahamu kwamba size ya uume siyo kigezo cha kumridhisha mwanamke wako kimapenzi.
Kuna mambo mengi waweza kufanya ikiwemo romance na kumshikashika mpenzi wako maeneo mbalimbali ikiwezo matiti na kisimi ili kumuamsha kihisia na kumridhisha kingono. Pia waweza kumsugua kipele G/Gspot kwa kufuata hatua hizi hapa.
Ni muhimu ujue kwamba kama ilivo kwa uke, kula mwanaume anazaliwa na maumbile yake, kwahivo usijilinganishe na jirani yako mwenye mboo kubwa kupita yako nawe ukatamani.
Usitumie madawa yoyote ya kurefusha na kunenepesha uume kwani yana madhara makubwa ya muda mrefu, ikiwemo kushindwa kabisa
0765203999
No comments: