Makosa ambayo wanaume hufanya katika kumuandaa mwanamke
Kumwandaa mwanamke kuwa mwili mmoja huanza kwa maneno, ongea kile ambacho kitamfanya damu yake kuwa Moto.
Pia matendo huweza kufanya kitu cha maana zaidi kuliko maneno, wakati unampa maneno mguse kwa kupalaza kwenye mwili wake wanawake husisimka kwa kuguswa wakati wanaume kwa kuona; tembeza mkono kama mawimbi unapoongea au kutoa zile hadithi zako za kumtengeneza mood, huku ukiwa karibu kiasi cha nywele zake kugusa uso wako.
Wakati wa maongezi mguse kwa wororo anza kuingilia himaya yake (siyo sehemu za siri ).
Unaweza kugusa mkono wake au kuondoa kitu chochote kwenye nywele zake au uso wake (hata kama hakipo we si unajua unafanya kitu gani) au unaweza kushika mikono yake (au vidole ) na kufanya kusugua kiaina kwa kutumia vidole vyako.
Anza kumsifia jinsi alivyo ukianza na nguo au kitu chochote amevaa (hapo ndipo ugonjwa wa wanawake wengi ulipo) sifia sura yake na vile alivyo kama vile nywele, kucha, lips na vingine unavyovijua wewe, sifia kwa uhakika na kiukweli anyway ni kweli mpenzi wako ni mzuri ndo maana upo naye hapo au sio.
Jihusishe naye zaidi kwa kumgusa katika njia ambayo si ya kuashiria unataka Tendo la ndoa pia kwa hatua kama hii usithubutu kumbusu yeye bali yeye ndo atakuomba umbusu.
Maongezi yako yanatakiwa sasa kuwa ya kimahaba zaidi, tumia maneno ya Mahaba, mwambie unavyojisikia kihisia,ongea kwa ulaini ili akuelewe kirahisi, unapoongea mnong’oneze kwenye masikio yake kama vile unamwambia siri hata kama mpo chumbani wawili tu.
Wakati unamnong’oneza sogeza zaidi lips za mdomo wako kwenye masikio yake na kugusisha na kumpa kabusu ka kiaina halafu achia ili kumruhusu yeye kujiachia kwako zaidi na kukung’ang’ania zaidi.
Ukiona anakuegemea zaidi ongeza kabusu kengine kwenye sikio huku ukimwambia maneno matamu na yanayovutia ya kimahaba.
Ukiona joto lake linazidi sasa usifanye kosa anza kusambaza mikono yako na kumgusa kila eneo la mwili wake lakini usiguse maziwa, au chini (sehemu za siri) bali tumbo, mgongo, shingo, mikono, miguu, kidevu nywele nk.
Anza kusambaza busu lako kuanzia kwenye lile sikio, shingo, kinywa huku yeye akiendelea kukuinamia na wewe unaendelea kumpa kabusu baada ya hapo naamini moto maji yataanza kuchemka kiasi kwamba kupoa itakuwa kazi nzito.
Sasa Tuje Kwenye Mada Yetu
Je, ni makosa gani ambayo wanaume hufanya katika kumuandaa mwanamke?
1. KUWA NA HARAKA.
Wanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.
Wanawake hutumia muda mrefu ili kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda bila kuwa na haraka ili uweze kumsisimua na zaidi kuwa na tendo zuri na lenye kuridhishana.
Ni vizuri kutumia muda wa kutosha kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.
2.KUKOSA KUJUA SEHEMU MUHIMU ZA KUCHEZEA.
Zaidi ya maziwa, shingo na midomo (lips) na kis..mi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akiguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.
Tumbo, makalio, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya K na nyuma
Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.
Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.
3. KUWA BUBU BILA KUONGEA MANENO MATAMU YA KUMSIFIA.
Wakati wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema mwanaume awe anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama wewe ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.
Kuna maneno matamu, kwenye mapenzi maneno matamu yapo ya aina mbili, kwanza ni Machafu (mfano K yako Tamu Mpenzi) na pili maneno ya kumsifia juhudi yake au alivyo na umbo zuri. husaidia kumsisimua na kumpa nyege zaidi na maneno ya sifa husababisha atoe juice zaidi.
4.KUBUSU KWA KINYAA AU BILA USTAARABU.
Wakati unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda umbusu, huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye, hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza kabisa katika mapenzi.
No comments: