Njia Pekee ya Kuacha Kupiga Nyeto.
Je wewe wewe ni SUGU wa Kupiga Nyeto?
Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga nyeto, hata kama ameathiriwa na
tatizo kwa kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga
kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu huyo hatopiga tena nyeto
katika siku zote za maisha yake kwani tayari mtu huyo atakuwa amerudia
katika hali yake ya kuto kuwa addicted tena na upigaji nyeto, na
atalichukia kabisa hata jina la tendo hilo achilia mbali tendo lenyewe.
UFANYE NINI ILI USIPIGE NYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI
MFULULIZO!
Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na nyeto kustahimili kujizuia
kupiga nyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia
kupiga nyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na
mchezo wake.
A TUMIE DAWA IPI KUACHA?
PILIPILI
Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayo
pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, kumbuka pilipili hoho haihusiki hapa).
MATUMIZI
Kwanza kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua muda ambao huwa
unapiga nyeto ( Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya kuamka,wakati
wa kuoga ama usiku kabla ya kulala ).
Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye viganja vya vidole vyako na
kujipakaza katika viganja vya vidole vyako. Unaweza kutumia pili moja
kwa kila kiganja, na kwa kila muda ambao huwa unapiga nyeto lakini
unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili moja.
Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya vidole vyako, moja kwa moja
unakuwa umekwisha jilazimisha kutokufanya nyeto, kwa sababu ukipiga
nyeto kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa sana wala
hautaweza kufurahia tendo hilo.
JAMBO LAKUZINGA TIA: Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili mpaka
nne kila unapokuwa katika maeneo ambayo yanaweza kukuchochea
kufanya nyeto.
UFANISI WA DAWA HII : Dawa hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria
kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya nyeto. Kwa wale ambao
hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.
Pia Zipo Njia Nyingine Ambazo Zinaweza Kusaidia, Kumbuka Pilipili ni Kwa wale SUGU wa Kupiga Nyeto ila akichanganya na njia hizi itakuwa Bora Zaidi.
- Acha kuangalia video za Mapenzi: video hizi ndio chanzo kikuu cha nyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie nyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..
- Weka mipango ya kuzuia kupiga nyeto wakati wa kuoga: bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga nyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga nyeto.
- Epuka kukaa nyumbani peke yako; mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.
- Fikiria kuhusu madhara yake: kila aliyewahi kupiga nyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa, kuishiwa nguvu za kiume na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga nyeto.
- Acha kusema eti hii nyeto ni ya mwisho: siku zote wapiga nyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.
- Tafuta mpenzi kama huna kabisa: ukiwa na mpenzi atakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale Mashinee itakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa nyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.
- Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine:hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga nyeto wakati wa kwenda kulala.
JARIBU LEO ILI UWEZE KUEPUKANA NA MADHARA YA NYETO.
No comments: