NJIA YA KUPONYA MAHUSIANO YALIOVUNJIKA.
Mbegu muhimu ya kuendeleza njia ya kuponya na kuwa na mahusiano ya muda mrefu, yenye furaha,na yenye ukamilifu,
Bila ya kujua mahitaji yako na kwenda sokoni bila ya lisit ya vitu na bila kujua kuna nini hasa kwenye friji.
Kitu kizuri unachoweza kufanya ni kuacha kuhangaika na vitu vinavyoonekana vizuri.
Inawezekana tayari una kila kitu unachohitaji. Na huenda vimekosekana vitu vichache tu. Inawezekana hawauzi hivyo vitu unavyotafuta, huwezi kujua bila ya kuwa na takwimu.
Moja anaweza kusema ni uchoyo wa ukweli, Mtu alieko kwenye ahadi anaweza kufanya jambo katika mahusiano ili yawe mazuri hata kama mwenza wake hana la kufanya. Na hana kitu cha kutoa.
Lakini tuwe wakweli hapa , Tunaingia kwenye mahusiano kwa sababu tunahitaji kitu fulani– Urafiki wa mahusiano, upendo, msukumo , msaada, fun, kama hitaji lako halifanani , unaweza kuwa kuna kitu kimekosekana kwako. Kama huwezi kutambua mahitaji yasiokutana , utajikuta unahisi hasira kwa mwenza wako kwa vitu vidogo vidogo. Unaweza kuharibu mahusiano kwa sababu umezuia furaha yako.
Ni pale tu utakapojua kuwa mahitaji yako yanajengwa na mahitaji yao. Listi ya mahitaji yako pia ni chombo kinachoweza kutambua kama mahusiano yako yanaweza kudumu. Kwa mfano kama utaona kuwa mwenza wako anakutana na mahitaji yako yote– au anakusaidia kufikia mahitaji yako yote– Inakuwa ni vema.
Kama kuna kitu tofauti , na ulikuwa na matarajio hayo, haitakuwa tatizo kubwa Inaweza kuwa kuna kitu unaweza kufanyia kazi wewe mwenyewe–labda katika kuwa wazi, kuelewa na kufungua vifungo ambavyo mwenza wako amefungwa katika umakini.
Umuhimu wa kufahamiana inatokana na ukweli na uwazi wenu pamoja na mawasiliano mazuri mlionayo. Kama kuna kitu kinaenda tofauti, usiende kwenye list yako. Ni muhimu kujua mahitaji ya mwenza wako pia . kama mtakubaliana kushirikishana mahitaji.
Au labda utaogopa ya kuwa huenda usiweze kukamilisha mahitaji ya mwenza wako, au hakuna kibali au uwezo wa kukutana na mahitaji hayo. Msipoweka hayo mahitaji mezani , utaachia hivyo vitendo vikuajiri, iwe dhana, kudanganya. Ili kujaribu kufanya mambo yaende vizuri. Lakini sote tunahitaji na tunataka na kuhisi vizuri jinsi tunavyopata. Kama tutaweka tu juu ya meza.
Kama mtaweka mezani hapo ndipo mtajua tofauti kati ya mahitaji na matakwa. Kwa mfano kama utapata mwenza ambae anahitaji masaji— jiulize kwa ukweli kama hiki hakikuwepo je mahusiano yangeendelea?
Inabidi pia kuelewa tofauti iliopo kati ya mahitaji ya mahusiano na mahitaji ya mtu binafsi.
Kwa mfano mtu kutaka kukubalika kwa lile analohitaji na kutambuliwa kwa mchango wake ndani ya mahisiano hata mara moja kwa mwezi .
Kumbuka kuwa ni vigumu mwenza wako kutambua mahitaji yako unayohitaji , kwa hio ni muhimu kumwelezea ili awe na ufahamu huo.. Sio vizuri mtu kuanza kutabiri kitu unachohitaji.
Hii ni nafasi nzuri na ni muhimu kwenu nyote. Kuonyesha kumkubali mwenza wako kwa kile anachofanya na msaada anaotoa kwako. Wote muwe na uelewa ulio mzuri ili mpate mahusiano ya ndoto yenu.
Msiepuke ukweli, panapotokea vitu tofauti, msijisikie vibaya kwa kinachokosekana ndani ya mahusiano. Kama kuna kitu hakitoshelezi , dalili ya msingi, lakini mahusiano bado yataendelea na kila mtu atatafuta njia ya kukamilisha kile kinachopungua.
Hapa kuna baadhi ya mifano ya mahitaji ya mahusiano.
Ukweli, mawasiliano yalio salama.
Upendo wa kimwili siku zote
Mtu ambae nilivutiwa nae
Mtu moja ambae ananisaidia kufikia malengo yangu
Mtu ambae anahusika katika kuendeleza na kutunza mahusiano yetu
Ndoa ya mke mmoja
Mwenza ambae hatumii madawa ya kulevya.
Kama tulivyoona , pointi ya mahusiano sio mahitaji tu ya kubadilishana. Ni nafasi ya kutusukuma kwa ndani, kujifunza na kukuza uhusika wetu wa ndani . inafanya kutuuliza endapo tumekuwa wabunifu, wawazi, wa kusaidia, wenye upendo na watu wakarimu,wenye shauku, na wenye kuweza.– vitu vinavyoleta umoja wa kweli na njia ya kweli ya kujihusisha ndani ya mahusiano.
No comments: