Ukweli Kuhusu Wanaume na SEX
Ok, Nafahamu unafikiria hivyo ngoja tufahamu sasa, mwanamke atawezaje kuandika makala kuhusu mwanaume anachohitaji kwenye mwili wake? Nina maana kwamba ingefaa mwanaume aandike hii makala kuhusu mahitaji yao ya kimwili.
Hataweza kufanya hivyo.
Kama mshauri wa mambo ya mapenzi na ngono naongea na watu wengi kuhusu ngono , wanawake kwa wanaume. Mimi pia ni mwanamke.Inasemekana kwao ni rahisi kuongelea maisha ya mapenzi kuhusu wanawake ambao hawaoni umuhimu wa kujihami.
Wanaume hushirikishana matumaini, hamu na matatizo yao, nafikiria ni ya msingi. Kwa hio kwa niaba ya kila mwanaume alipo, na kila mwanamke wanaohusika na makala hii . natumaini hutajali kukuletea baadhi ya mambo ya kufahamu kuhusu mwanaume na sex.
1.He Is Not The Incredible Hulk
Wengi huwa tunafikiria kuwa mwanaume akiwa na umri zaidi ya 18 anakuwa muda wote anawaza kufanya sex na kwamba wako kama bomu ambalo haliwezi kuthibitiwa. Sio hivyo Wakati mitandao na vitabu, movies zinaonyesha wanaume kama hao ambao wao muda wote wako tayari,.Lakini jamii inaonyesha na kuongea tofauti kuhusu uendeshaji wa ngono . Usimwangalie mwanaume mmoja ambaye amekwama kwenye akili moja.
Ukiona mwanaume anatafuta intimacy zaidi inabidi uwe makini kujua kitu gani kinatokea katika maisha yake . usimfikirie kuwa monster wakati wowote anaweza kuruka na kukushambulia, hapana, kumbuka kuwa sex ni kitu kizuri kwake na hupenda kitokee kwa urahisi. Na hupenda kushirikiana na wewe kimapenzi na hufurahia kuwa karibu na wewe. Chukua hio kama pongezi.
2.He Doesn’t Want ‘’Duty Sex’’
Amini usiamini, Wanaume sio wajinga, wanafahamu wakati unapokuwa hauko tayari na huwa na ukaribu zaidi kimapenzi kwa sababu unakuwa unafikiria unahitaji kufanyiwa hivyo, au unakuwa tu unajaribu kumfanya afurahie. Hahitaji namna hio. Baada ya kumaliza kazi hio , atajisikia kama anakutumia. Na hapendi kujisikia hivyo au kwa mwanamke anayempenda.Wanasema ni bora asifanye sex kuliko kujisikia hali kama hio.
Kama unahangaika kwenye idara hio , Tafuta darasa, Soma vitabu, au tafuta msaada wa kipekee. Usifikirie kuwa hajagundua au hawezi kugundua hali hio na kwamba haimdhuru kitu. Anakutaka wewe uhusike naye , ushirikiane naye na uwe mpenzi wake wa kweli. Hahitaji awe kazi yako ya kufanya, isiwe kama kwa ajili yake. Hapana. Shirikiana naye.
3.Anahitaji Upendo , Not Just Sex.
Watu wanapoanza mahusiano ya kujamiiana , yanakuwa ni mapya na huwa wanakuwa focused.Halafu baada ya muda , huanza kutulia na kuona kawaida . tunasahau majukumu yote ambayo hutuunganisha kwa urahisi kimwili kupitia vitu vidogo kama miguso midogo, hugs, kisses, and cuddling.
Nasikia wanawake wengi wakisema kuwa wanaume wao wamepunguza uwezo, wamebaki na nia tu ya kitendo cha ngono, Lakini nilipowauliza kama wanajitahidi kuwasaidia kuwaonyesha upendo wakati mwingine . walisema kuwa mambo yamekuwa ni mengi, watoto, kazi za nyumbani, job stress, tutawezaje, nikauliza kama ulikuwa jangwani wiki nzima na ukapewa uchaguzi kati ya vitu viwili kati ya glass kubwa ya barafu ili unywe au kumwagiwa maji mdomoni na usiweze kunywa hayo maji , ungechagua yapi? Kuongeza upendo zaidi kunaweza kupunguza misongo, kuongeza hamu na kujenga hisia ya furaha kati yenu kitu ambacho umefikiria kuwa kimepotea
4.He Has No Idea What To Do With Your Body
Kama umeingia chumba cha rubani Unafahamu kitu cha kufanya? Taa zote hizo, wenzo, buttons, vingekufanya ubaki na mshangao usijue cha kufanya kilicho bora, utajikuta unaharibu. Na ndicho wanawake wanachokitarajia kutoka kwa wanaume. Hata hivyo kwa kuwa wamekuwa wakifikiria mwanaume ni hulk monster, wanakuwa na hayo matarajio yote si ndio? Hio sio sahihi.
Hahitaji chochote zaidi ya kukuomba na ili kujua kuwa wewe ndio wa karibu yake na ni mpenzi wake kama alivyo yeye. Lakini pia anahitaji umwambie kitu gani unachokipenda na kuhitaji zaidi kutoka kwake. Ikwa unahitaji kitu kidogo kuliko mawazo yake. Atajitahidi kusoma vitabu ili kufahamu jinsi gani afanye, lakini bado anakuwa hana ufahamu kuhusu upekee wako.
Na atapenda kukukiss, kuhag, na zaidi. Kwa hio jitahidi kumpa nafasi hio utafurahia na yeye atafurahia.
Kwa bahati mbaya , kuna baadhi ya wanaume ambao wao ni kama incredible hulk, wanataka sex tu. na kufikiria kuwa hio ni duty sex, ni vizuri kwa sababu wanakipata wanachokitaka. Hao wanaume sio ambao tunaowataka kuwa nao kwenye mahusiano hata hivyo. Wale wanaostahili hawakokoti kiungo chini, lakini ni wenye akili na wenye mawazo bora ya kibinadamu kwa kuhitaji na kuwa na hamu kama ya kwako na kuwa na wasiwasi wa kufanya kitu kwa ajili ya kuboresha mahusiano yako.
No comments: